Kuiteketeza CCM jukwaani kunahitaji siku chache tu. Zitto Kabwe afunika Kigoma, uwanja wafurika hadi kuzidiwa

Mkuu;
Mara hii umeishasahau ''mafuriko ya Lowassa''!

Hoja sio kujaza watu bali hao watu uliojaza wamekubaliana na ulichokisema na pia wamekifanyia kazi!

Kumbuka kwa wengine mikutano kama hii ni sehemu ya kwenda kupitishia siku baada ya kazi!

Baada ya uchaguzi mnakuja na kelele mkisema wameiba kura!
Hii kauli kila nikifikiria inaumiza sana huyo si binadamu wa kawaida
 
Mkuu;
Mara hii umeishasahau ''mafuriko ya Lowassa''!

Hoja sio kujaza watu bali hao watu uliojaza wamekubaliana na ulichokisema na pia wamekifanyia kazi!

Kumbuka kwa wengine mikutano kama hii ni sehemu ya kwenda kupitishia siku baada ya kazi!

Baada ya uchaguzi mnakuja na kelele mkisema wameiba kura!
Kwani Lowasa mlimshinda?
 
Ndio wanaiba kwani jiwe alishanda
Mkuu;
Mara hii umeishasahau ''mafuriko ya Lowassa''!

Hoja sio kujaza watu bali hao watu uliojaza wamekubaliana na ulichokisema na pia wamekifanyia kazi!

Kumbuka kwa wengine mikutano kama hii ni sehemu ya kwenda kupitishia siku baada ya kazi!

Baada ya uchaguzi mnakuja na kelele mkisema wameiba kura!
 
Utakua na matatizo toka lini serekali ikazuia mbunge kuongea jimboni kwake
Umesahau Mara hii Mbowe alipotangaza kufanya ziara jimboni kwake kuongea na wapiga kura polisi walimjibu vipi
Haitawezekana kwa sababu DC Sabaya nae Ana ziara ya kukagua miradi ya maendeleo? Kumbukumbu ni muhimu Sana. Tukubaliane tu kuwa Tz hakuna fair political ground!
 
Mkuu;
Mara hii umeishasahau ''mafuriko ya Lowassa''!

Hoja sio kujaza watu bali hao watu uliojaza wamekubaliana na ulichokisema na pia wamekifanyia kazi!

Kumbuka kwa wengine mikutano kama hii ni sehemu ya kwenda kupitishia siku baada ya kazi!

Baada ya uchaguzi mnakuja na kelele mkisema wameiba kura!
Ukweli mchungu utabaki palepale, ccm waliiba kura za Lowassa mwaka 2015, usipolielewa hili utakuwa na tatizo
 
Umesahau Mara hii Mbowe alipotangaza kufanya ziara jimboni kwake kuongea na wapiga kura polisi walimjibu vipi
Haitawezekana kwa sababu DC Sabaya nae Ana ziara ya kukagua miradi ya maendeleo? Kumbukumbu ni muhimu Sana. Tukubaliane tu kuwa Tz hakuna fair political ground!
Si walipewa io sababu
 
Buhingwe uchaguzi wa marudio mlipeleka polisi 400 kupora kura.Je watatosha polisi vituo vyote uchaguzi mkuu

Mhe. Zitto atagombea majimbo mangapi? Ni vizuri akashinda kwenye hilo jimbo lake maana bila hivyo atabaki kujenga chama chake.
 
Back
Top Bottom