Kuishi tanzania bila kibali adhabu yake ni miaka mi3 au fine laki 1

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,509
Kweli TZ shamba la bibi,
Mkurugenzi wa zantel naushad amehukumiwa kwenda jela miaka mi3 au kutoa fine ya laki1

Source:Majira
 
Kweli TZ shamba la bibi,
Mkurugenzi wa zantel naushad amehukumiwa kwenda jela miaka mi3 au kutoa fine ya laki1

Source:Nipashe
Mkuu, ulikuwa hulijui hili? Mbona hakimu angetaka angezidi kupunguza hiyo adhabu! Sheria zetu hazina tofauti sana na mchezo wa mazingaombwe
 
Du hizi sheria ni nomaaa zinawabeba sana wenye vyeo,kuna mtu aliiba nazi kumi akapigwa nyundo mbili jela pasipo fine
 
Kweli TZ shamba la bibi,
Mkurugenzi wa zantel naushad amehukumiwa kwenda jela miaka mi3 au kutoa fine ya laki1

Source:Nipashe
Hata hivyo hizi sheria zimeboreshwa kidogo, hukumbuki hivi miaka ya karibuni kulitokea kesi kuna jamaa alipatikana na hatia ya kumtelekeza mtoto na mahakama ikaamulu alipe Tshs100 kwa kila mwezi tokea alipokacha majukumu na ikamuamulu awe anapeleka kiasi hicho kwa ajiri ya matunzo ya mtoto. Ikumbukwe Ths100 ilikuwa na nguvu sana miaka ya 1970/80 lakini hii hukumu ilikuwa ni ya miaka ya mwanzoni ya 2000
 
Du hizi sheria ni nomaaa zinawabeba sana wenye vyeo,kuna mtu aliiba nazi kumi akapigwa nyundo mbili jela pasipo fine

Hii Tanzania is more than uijuavyo, mzawa hana Haki ndani ya nchi yake ila mgeni anahaki. Je ni miaka mingapi amefanyakazi bila ya vibali? Hiyo Kampuni ishapigwa fine? Je ni Wageni wangapi wanafanyakazi nchi bila ya vibali vya kufanyia kazi? Mtanzania anafungwa bila ya Faini hata kwa kesi za kipumbavu
 
Hata hivyo hizi sheria zimeboreshwa kidogo, hukumbuki hivi miaka ya karibuni kulitokea kesi kuna jamaa alipatikana na hatia ya kumtelekeza mtoto na mahakama ikaamulu alipe Tshs100 kwa kila mwezi tokea alipokacha majukumu na ikamuamulu awe anapeleka kiasi hicho kwa ajiri ya matunzo ya mtoto. Ikumbukwe Ths100 ilikuwa na nguvu sana miaka ya 1970/80 lakini hii hukumu ilikuwa ni ya miaka ya mwanzoni ya 2000

Yani 1200 kwa mwaka?
Huyo mtoto hata angekua anashindia maji, havai nguo na wala hajawahi kuumwa akapewa matibabu bado isingetosha kwa miezi mitatu.

Yani Tanzania bwana, kila kitu hovyo hovyo. Sheria za kipuuzi puuzi ndizo zinazoongoza nchi, alafu tunategemea rais awe na akili.
 
Back
Top Bottom