Kuishi Dar ndio dharau kiasi hiki

si mnanasema dar ndio jiji pekee apa bongo mengine yamefulia,so ni vyema kuilinganisha na majiji mengine duniani.

By then hatuwezi wote kulingana kifedha iyo laki mbili kwangu sio ndongo,lakini kuna watu iyo laki mbili ni wese la siku 1 na si wiki moja kama unavyodai.
kumbuka dhuluma ni mbaya ata kama ni shilingi 1.

Kijana unalia sana embu weka namba zako za simu nikuforwardie Mobile money fasta, povu limekuwa jingi ila usisahau ndo Dar ya leo si ya kina Kiranga vijana wote mjini mnajuana sasa hivi hata jirani yako humjui hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Walewale tu.

Wewe wa Dar na Jumbe Tambaza aseme wa wapi?

Wewe umesoma Tambaza photocopy, mie nimesoma Tambaza original.

Na mikoba ya Jumbe Tambaza mwenyewe aliyomtambika nayo "Baba Kabwela" nimeiona kwa Mzee Pambe.

Wee wa Dar hata pilau la Shangani unalijua wewe?

Poor reasoning. Hukunielewa na hata nikirudia utaniona napayuka, kukusaidia nitumie CV yako nitajua unahitaji aina gani ya mwalimu.

Mifano yako eti Pilau la Shangali, Unaongea 80s wakati wanapanda UDA? sasa ile ilikuwa Dar nayo ya kumtamanisha Mchina akaja kuwekeza? Tunaongelea DAR sio dar mbona uelewa mgumu unahitaji konzi nini?
 
Kijana unalia sana embu weka namba zako za simu nikuforwardie Mobile money fasta, povu limekuwa jingi ila usisahau ndo Dar ya leo si ya kina Kiranga vijana wote mjini mnajuana sasa hivi hata jirani yako humjui hahahaaaa

Tatizo hatujuani lakini suzie ingawa unatamba kuishi Dar,kwa vyovyote vile hunizidi cash money.
 
Poor reasoning. Hukunielewa na hata nikirudia utaniona napayuka, kukusaidia nitumie CV yako nitajua unahitaji aina gani ya mwalimu.

Mifano yako eti Pilau la Shangali, Unaongea 80s wakati wanapanda UDA? sasa ile ilikuwa Dar nayo ya kumtamanisha Mchina akaja kuwekeza? Tunaongelea DAR sio dar mbona uelewa mgumu unahitaji konzi nini?

nitakuelewa vipi wakati walimu wako wamesomea shule za Vodafasta?
 
Huyu anacheza na akili zako_wewe mfute huko huko dar then utajua la kufanya....ukiona anakuzingua wewe mtindue magumi ya kuvizia....kuna migogoro/matatizo mengine sio lazima utatue kwa diplomatic way_violence and force can be the best way to go.

kitu cha street justice yeah muhimu inapobidi.
 
Tatizo hatujuani lakini suzie ingawa unatamba kuishi Dar,kwa vyovyote vile hunizidi cash money.

Nikweli umenizidi kwa cash, nishasamehe 9m cash miaka miwili ilopita na maisha yanaenda na uanamke wangu huu tena ni pesa halali sio magumashi. Unaanza kuleta dharau kwenye ID Mkuu, wengine viongozi wako usione tunachat ukadhani tunalingana, ndo tatizo lenu mkiachiwa.

Wewe laki mbili yowe mpaka Tokyo na NY, kuwa wakiume acha kumbwirambwira kaka. Hivi sadaka unatoaga asilimia ngapi ya pato lako wewe
 
nitakuelewa vipi wakati walimu wako wamesomea shule za Vodafasta?

Yaishe Mkuu, maana nikikumbuka Mnyika alipomkimbizaga Riziwan na Nape kwenye hoja waliyoianzisha wenyewe naona future yako iko hatarini hapa JF. Utakuwa kila ukiona uzi nimekanyaga unatimua, kwakifupi elimu zangu zote mbili nimesomea UDSM miaka 3 na 2 ulaya nimeenda kozi ya mwaka mmoja (special course), workshops na seminars basi.
 
Na bado unaandika "alipomkimbizaga".

Nimesema hapa wakitakiwa watu wa Dar kusimama wewe huwezi kusimama. Hutakiwi kusimama.
 
Pole saanna ndugu laki mbili ni pesa nyingi sana mie naweza kukusaidia kwa ushauri na tumia njia hii!! andika ujumbe wa simu au text messeji hivi
Rafiki ni muda mrefu tokea nimekuazima pesa yangu shilingi 200000 namie ninazihitaji kwa ajili ya mambo yangu
najua pesa ni ngumu kupata na wewe huna kwa sasa kama ambavyo umekua unaniambia tokea tarehe ya ......... nilipo
kuazima na ukasema utanirudishia!! naomba tu uniambie ni lini nitegemee utanipatia pesa yangu??
wako........
NOTE kuandika text kama hio ni kumvuta ili uweke ushahidi hata ukimfikisha kwenye vyombo vya usalama kua unamdai sasa akikujibu messeji yako taitumia kama ushahidi!!!jaribu hio njia
 
Huyu ni mwenyeji wa mikoa ya kaskazini_hao ndio 'wanaendaga' mkuu
 
Yaishe Mkuu, maana nikikumbuka Mnyika alipomkimbizaga Riziwan na Nape kwenye hoja waliyoianzisha wenyewe naona future yako iko hatarini hapa JF. Utakuwa kila ukiona uzi nimekanyaga unatimua, kwakifupi elimu zangu zote mbili nimesomea UDSM miaka 3 na 2 ulaya nimeenda kozi ya mwaka mmoja (special course), workshops na seminars basi.

Suzie kumbe kafika ulaya hongera
 
Pole saanna ndugu laki mbili ni pesa nyingi sana mie naweza kukusaidia kwa ushauri na tumia njia hii!! andika ujumbe wa simu au text messeji hivi
Rafiki ni muda mrefu tokea nimekuazima pesa yangu shilingi 200000 namie ninazihitaji kwa ajili ya mambo yangu
najua pesa ni ngumu kupata na wewe huna kwa sasa kama ambavyo umekua unaniambia tokea tarehe ya ......... nilipo
kuazima na ukasema utanirudishia!! naomba tu uniambie ni lini nitegemee utanipatia pesa yangu??
wako........
NOTE kuandika text kama hio ni kumvuta ili uweke ushahidi hata ukimfikisha kwenye vyombo vya usalama kua unamdai sasa akikujibu messeji yako taitumia kama ushahidi!!!jaribu hio njia

Ok mkuu,nitafanyia kazi ushauri wako
 
Nikweli umenizidi kwa cash, nishasamehe 9m cash miaka miwili ilopita na maisha yanaenda na uanamke wangu huu tena ni pesa halali sio magumashi. Unaanza kuleta dharau kwenye ID Mkuu, wengine viongozi wako usione tunachat ukadhani tunalingana, ndo tatizo lenu mkiachiwa.

Wewe laki mbili yowe mpaka Tokyo na NY, kuwa wakiume acha kumbwirambwira kaka. Hivi sadaka unatoaga asilimia ngapi ya pato lako wewe

Si dharau ID,najua kuna wanawake wanamshiko wa kutosha,lakini sio ww suzie,kama ni kweli ulisamehe 9m,basi umefiliska na hauna kitu tena, kiongozi kitu gani ata mwenyekiti wa mtaa ni kiongozi.
 
Mkuu Suzie Mkuu.@moes ningemlisaidia lakini hana imani na waganga wa kienyeji . moes sitoweza kumsaidia mumuache kama alivyo ameshazulumiwa na mtoto wa mjini.

Njia ya Mti Mkavu sio ya uhakika,kuna watu humu wametoa njia ambanzo ni nzuri,lakini hi ya mzizi makavu sitaki kuiamini.
 
Waombe waloomwombea Mkuu wa kaya afe wakusaidie kumwombea na uyu jamaa apoteee tu pay nyingi hiyo! Dar kawaida sana anakutisha tu.
 
kuna jamaa yangu anayeishi dar nilimkopesha tsh 200,000 mwezi desemba 2012 kwa ahadi ya kurudisha ndani ya mwezi 1.
Nina jaribu kumwomba anirudishie anakua mkali,anasema hana fedha kama polisi nimpleke,kwanza yeye ni mtoto wa mjini(dar), hakuna mtu yeyote wa mkoani anambabaisha wa mkoani wote washamba tu na vijidudumtu.

wanaJF uyu bwana katumia defence mechanism ili nisimdai,na mbaya zaidi hatukuandikishia kwani nilimuamini.

je Kuna mbinu yoyote ya kumfanya uyu bwana anilipe? au niandike maumivu

Hahahaa, naona umeambiwa wa Mkoa umemind vibaya mno mpaka umekuja kufungua thread JF?!!!! Kwani pesa mlikopeshana JF? Btw, inaonekana mnafahamiana vilivyo, huenda mmetoka kijiji kimoja au mlisoma pamoja, kwa hiyo ni wewe ndiyo unajua jinsi ya kumpata, JF sidhani kwama watakusaidia sana (labda kama ungeandika hata jina, fb account yake) huenda kuna watu wanamfahamu wangekusaidia. Lakini laki2 mbona pesa kidogo kaka kwa nini usifanye tu kuwa ulimsaidia uipotezee? Au unataka kumwendea kwa karumanzira ampe shida!!...lol
 
Cha muhimu mkuu ni kuomba ushauri kwa watu mbalimbali kwani mi kama binadamu naweza kuchukua hatua ambazo sio nzuri na ziszo na faida yoyote.
nakuhakikisha JF ni sehemu mojawapo/pengine kuliko sehemo yoyote tz ya kupata ushauri kutoka kwa watu mbalimbali,wa kada tofauti,umri tofauti,elimu tofauti,mazingira tofauti,tamaduni tofauti.
Pia nina imani kuna watu wamejifunza kitu kutokana na hii thread.
 
Back
Top Bottom