kuipanda hii treni ya dar inabidi uwe na nguvu

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
DSC_7704.JPG


DSC_7841.jpg


DSC_7823.jpg



mia
 
Wanachangamoto nyingi sana za kupambana nazo.Kwa sasa hivi inawabidi mabehewa waongeze hali siyo kabisa
 
Platforms ni challenge kubwa sana kwa Mwakyembe!! Zijengwe standard kulingana na urefu wa treni ili iwe rahisi boarding and disembarking!!

Nasikia kuna shida ya chenji na ticket, kwa nini wasitumie tech ya simu kurahisisha!! Hizo ticket zingeuzwa hata na mawakala wa mitandao ya simu, kwa variety kubwa kuwezesha urahisi wa mtumiaji!!

Zile billion kadhaa nilidhani wanajitahidi angalau kufikia kama Kenya walivyofanya!!!
 
Najaribu kufikiria kama ingepatikana route ya Kariakoo - Mbagala, watu tungekaa hadi juu ya mabehewa mradi kufika! Tushazoea srcrumble!

umesahau kariakoo gongo la mboto, si nyie huwa mnadandia mpaka kwenye rim za matairi
 
They will have to invest in some platforms. It is one thing to have a train but running a safe operation is also important. With that being said, all in all its a job well done. It shows that someone is at least willing to take an initiative on some of the issues.
 
Mwanzo mgumu! ila kiukweli wale wahindi wametuludisha nyuma sana! wamevuna kiasi cha kutosha! dhaifu utalaumiwa milele!
 
Kumbe huwa kuna chai na kahawa? Mbona nimelipanda leo kutoka posta hadi ubungo sikupata hiyo huduma?
 
Back
Top Bottom