stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 6,382
- 3,493
Chawa wa Taifa hili CCM 2025 kama wakitaka wasitake wanaondoka na tutawabanja kikwelikweli, na wito wanaoikataa CCM waikatae kuanzia sasa,kama upo CCM basi huko hakukufai hama na mapema,mambo ya kudandia mmeyaona,Nyarandu kawekwa pembeni,Membe kamembuka eti leo ndio wamejua kama nyimbo walizokuja nazo haziimbiki ugenini,wamerudi zao bila ya kurudishwa,kwa hiari yao wametokwa na kauli tata na wasiojielewa wakazivamia,nyimbo haiimbiki ugenini.
CCM ni makundi makundi , yamejivisha ngozi ya kondoo kwa sasa,tunaona Mwenyekiti wa CCM anavyookoteza,ni wazi anapapasa kizani,na 2025 wahafidhina wanampiga na chini ili kuchomeka mtu wao.
Heshima ya Raisi Samia ni kuweka mazingira mazuri ya uchaguzi tume huru na katika ili kuisaidia Nchi yake ya Zanzibar,anatakiwa afahamu tu ardhi na mbingu ni vitu viwili tofauti na waswahili wanamsemo mtu kwao,Bwana yule kajenga kwao mpaka uwanja wa ndege ,wewe nawe ijenge kwenu kwa kuweka katiba sawa.
Ila kwa ujumla CCM tunaipiga na chini huku Tanganyika. 2020 imetosha.
hapa ni kipindi ccm inawapa msaada
hapa mkaamua kua wenyewe