Kuiondoa ccm madarakani ni ndoto

Status
Not open for further replies.
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Messages
657
Likes
21
Points
35
Age
37
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined May 2, 2012
657 21 35
chadema ndio hiyo imekufa kutokana na kukiendesha chama kikanda hakuna asiyejua kwamba chadema ni chama cha kaskazini,hakuna asiyejua mbowe mtei na lema ni ndugu,hakuna asiyejua chadema ni mafisadi na wenye tamaa ya madaraka,hakuna asiyejua chadema ni wauwaji na siku za mwizi ni arobaini na mbio za sakafuni huishia ukiningoni na huu ndio mwisho wa chadema hata nyerere alisema anayeng'ang'ania kwenda ikulu muogope kama ukoma na mimi naiogopa chadema kama ukoma........!!!!!!!
 
mary mary

mary mary

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
870
Likes
1
Points
0
mary mary

mary mary

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
870 1 0
Wewe uko ndotoni...mmekalia propaganda zisizo na maendeleo kwa nchi yetu. Leo ni miaka 52 ya Uhuru Tanzania, lkn akili zako bado zimeganda.

Naendelea kusisitiza kwamba, japokuwa mmeweka mamluki CDM ikitokea ukafanyika uchaguzi leo CHADEMA itachukua nchi. Huu ni ukweli mnaoujua ndio maana mnajitahidi sana kuharibu, lkn mnashindwa.
 
G

gogo la shamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Messages
6,682
Likes
1,333
Points
280
Age
58
G

gogo la shamba

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2013
6,682 1,333 280
chadema ndio hiyo imekufa kutokana na kukiendesha chama kikanda hakuna asiyejua kwamba chadema ni chama cha kaskazini,hakuna asiyejua mbowe mtei na lema ni ndugu,hakuna asiyejua chadema ni mafisadi na wenye tamaa ya madaraka,hakuna asiyejua chadema ni wauwaji na siku za mwizi ni arobaini na mbio za sakafuni huishia ukiningoni na huu ndio mwisho wa chadema hata nyerere alisema anayeng'ang'ania kwenda ikulu muogope kama ukoma na mimi naiogopa chadema kama ukoma........!!!!!!!
kweli ccm wanawaona watanzania ni mambumbumbu yaani mafisadi wawe chadema badala ya ccm
 
Munabusule

Munabusule

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Messages
978
Likes
131
Points
60
Age
53
Munabusule

Munabusule

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2013
978 131 60
aliyekutuma ni NAPE au KINANA???
 
APOSTLE JOHN SINDE

APOSTLE JOHN SINDE

Member
Joined
Dec 7, 2013
Messages
69
Likes
1
Points
0
APOSTLE JOHN SINDE

APOSTLE JOHN SINDE

Member
Joined Dec 7, 2013
69 1 0
.... kwa kuwa nia tunayo, bwana atabaariki
 
J

jzm-teak

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Messages
1,629
Likes
19
Points
135
J

jzm-teak

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2013
1,629 19 135
hizi post zenu zisizo na mashiko tumezichoka mkuu! kwani mbona hata binadamu wanakufa?
 
Benz Petrol

Benz Petrol

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Messages
504
Likes
81
Points
45
Benz Petrol

Benz Petrol

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2012
504 81 45
chadema ndio hiyo imekufa kutokana na kukiendesha chama kikanda hakuna asiyejua kwamba chadema ni chama cha kaskazini,hakuna asiyejua mbowe mtei na lema ni ndugu,hakuna asiyejua chadema ni mafisadi na wenye tamaa ya madaraka,hakuna asiyejua chadema ni wauwaji na siku za mwizi ni arobaini na mbio za sakafuni huishia ukiningoni na huu ndio mwisho wa chadema hata nyerere alisema anayeng'ang'ania kwenda ikulu muogope kama ukoma na mimi naiogopa chadema kama ukoma........!!!!!!!
Haya kujoa ukalale!
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,678