Vipi mbuziNenda wizarani ya kilimo na Mifugo pale tazara vetenari, utapewa utaratibu.
Kwa mbwa inabidi uwe na kadi za Chanjo, utoe taarifa za atokako, atafikia wapi, ataingia kwa njia gani na pia utalipa kiasi flani ndipo utapewa kibali.
Haruhusiwi kufugwa wapi, hapa nchini?Kasuku tu haruhusiwi kufugwa...
Mkuu Ndege au Mnyama asiyepatikana kabisa nchi anatakiwa awe na kibali na kibali chenyewe ni unapewa leseni ya kumiliki bustani ya wanyama na ukaguzi lazima ufanyike ikiwemo na eneo kubwa n.k sasa mtu unakakasuku kako uombe leseni na pia Wanyama na Ndege lazima uwe na kibali cha kuwaingiza nchini sasa balaa likukute una kasuku ndani hapo una kesi ya kijibu so kuishi na wanyama kwa ajili ya kuwafuga inabidi uwe makini wakati mwingine kuulizia tu inaweza kukuweka matatani bora kutizama list ya wanyama pori wa nchini.Haruhusiwi kufugwa wapi, hapa nchini?
Au unamaanisha haruhusiwi kuingizwa nchini?
Shukran kwa kunijuza hiliMkuu Ndege au Mnyama asiyepatikana kabisa nchi anatakiwa awe na kibali na kibali chenyewe ni unapewa leseni ya kumiliki bustani ya wanyama na ukaguzi lazima ufanyike ikiwemo na eneo kubwa n.k sasa mtu unakakasuku kako uombe leseni na pia Wanyama na Ndege lazima uwe na kibali cha kuwaingiza nchini sasa balaa likukute una kasuku ndani hapo una kesi ya kijibu so kuishi na wanyama kwa ajili ya kuwafuga inabidi uwe makini wakati mwingine kuulizia tu inaweza kukuweka matatani bora kutizama list ya wanyama pori wa nchini.