Kuingiza mnyama afugwaye toka nje

spray

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
277
241
Hi wadau,

Nitaratibu gani zinazohusika.
Nataka kuimport mnyama WA kawaida wa kufuga toka nje,-nimeipenda mbegu, nifuate taratibu zipi, au niongee na swissport tu au
Pls help
 
Nataka kununue ng'ombe wa maziwa kutoka Zambia ila najiuliza naanzia wapi!
 
Hapo Zambia mbona hata Hanna wa kukuuliza mfikishe Nakonde mswage hadi akiingia upande wa Tunduma chukua kibali cha kusafirisha nje ya wilaya hapo
 
Nenda wizarani ya kilimo na Mifugo pale tazara vetenari, utapewa utaratibu.

Kwa mbwa inabidi uwe na kadi za Chanjo, utoe taarifa za atokako, atafikia wapi, ataingia kwa njia gani na pia utalipa kiasi flani ndipo utapewa kibali.
 
Haruhusiwi kufugwa wapi, hapa nchini?

Au unamaanisha haruhusiwi kuingizwa nchini?
Mkuu Ndege au Mnyama asiyepatikana kabisa nchi anatakiwa awe na kibali na kibali chenyewe ni unapewa leseni ya kumiliki bustani ya wanyama na ukaguzi lazima ufanyike ikiwemo na eneo kubwa n.k sasa mtu unakakasuku kako uombe leseni na pia Wanyama na Ndege lazima uwe na kibali cha kuwaingiza nchini sasa balaa likukute una kasuku ndani hapo una kesi ya kijibu so kuishi na wanyama kwa ajili ya kuwafuga inabidi uwe makini wakati mwingine kuulizia tu inaweza kukuweka matatani bora kutizama list ya wanyama pori wa nchini.
 
Shukran kwa kunijuza hili
 
Back
Top Bottom