kuingiza games kwenye IPOD

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Msaada wana JF. naomba kama kuna mtu anajua kuingiza games na music kwenye ipod.

Thanks,
 
inategemea unatumia ipod ya aina gani, kwa kawaida apple hawaruhusu third party applications (software iliyotengenezwa na kampuni au nje ya apple).

kwa hiyo kama bado ni original, haijafanyiwa modification inaweza kuwa vigumu kwako kuweka mazagazaga ya kienyeji; lakini kama hujabadilisha kitu nenda website ya apple (apple.com), download itunes kwenye kompyuta yako - baada ya hapo kazi kwako.
 
Msaada wana JF. naomba kama kuna mtu anajua kuingiza games na music kwenye ipod.

Thanks,

ukitaka music download latest version ya itunes kisha iweke music zako zote kwenye itune na click sync itanyonya
 
tumia ituns na ingiza nyimbo zako video na picha kwa urahisi zaidi au dounloud free application za kuingizia nyimbo bila kutumia ituns
 
Kuna tatito nimelipata kwenye IPOD yangu niki play video haionyeshi wala sauti halafu inanirudisha kwenye menu pia na audio songs inakuwa inanionyesha nyimbo zote huku zikijirudia sauti hakuna halafu inarudi menu

msaada
 
Back
Top Bottom