inategemea unatumia ipod ya aina gani, kwa kawaida apple hawaruhusu third party applications (software iliyotengenezwa na kampuni au nje ya apple).
kwa hiyo kama bado ni original, haijafanyiwa modification inaweza kuwa vigumu kwako kuweka mazagazaga ya kienyeji; lakini kama hujabadilisha kitu nenda website ya apple (apple.com), download itunes kwenye kompyuta yako - baada ya hapo kazi kwako.
Kuna tatito nimelipata kwenye IPOD yangu niki play video haionyeshi wala sauti halafu inanirudisha kwenye menu pia na audio songs inakuwa inanionyesha nyimbo zote huku zikijirudia sauti hakuna halafu inarudi menu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.