#COVID19 Kuingia Marekani na Uingereza utahitajika kupima Covid 19 siku moja kabla ya safari iwe umechanjwa ama la!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,816
141,717
Kwa wasafiri waendao Marekani wanatakiwa kupima covid-19 siku moja kabla ya safari na kupewa kibali.

Kwa wanaosafiri kwenda Uingereza wanatakiwa kupima covid-19 siku mbili kabla ya safari na kupewa kibali

Watanzania tuzingatie hili.
 
Kwa wasafiri waendao Marekani wanatakiwa kupima covid 19 siku moja kabla ya safari na kupewa kibali.

Kwa wanaosafiri kwenda Uingereza wanatakiwa kupima covid 19 siku mbili kabla ya safari na kupewa kibali

Watanzania tuzingatie hili.
Unayo safari kwenda huko?
 
Kwa wasafiri waendao Marekani wanatakiwa kupima covid 19 siku moja kabla ya safari na kupewa kibali.

Kwa wanaosafiri kwenda Uingereza wanatakiwa kupima covid 19 siku mbili kabla ya safari na kupewa kibali

Watanzania tuzingatie hili.
Unasafiri lini?
 
Chanjo ya nini?
Watu wakisema Chanjo ina kazi nyingine wanaonekana wabaya kwenye Taifa .

Wenye ufahamu ndio watapiga Chanjo
 
Back
Top Bottom