Kuimarika kwa shillingi ya Tanzania sifa apewe Mkulo rais au wafanyabiashara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuimarika kwa shillingi ya Tanzania sifa apewe Mkulo rais au wafanyabiashara?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Godwine, Mar 20, 2012.

 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  nadhani wote tumeona mwenendo wa kuimarika kwa shillingi ya tanzania swali langu la msingi nani apewe heshima ya tukio hili...mkullo, rais au wafanyabiashara?
   
 2. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Wapewe magwandraaaaa
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Mkuu nisaidie exchange rate ya dola na madafu. Exchange rate ya leo
   
 4. G

  Godwine JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145

  mkuu inategemeana na sehemu lakini maduka mengi ni kati ya 1595 to 1610 per USD
   
 5. meeku

  meeku JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wewe unaota. Imeimarika kivipi? Kutoka sh. 1200 wakati wa mkapa hadi 1670 wewe unaona inaimarika?
   
 6. S

  Snitch Senior Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tuna matatizo watanzania....

  Hebu jikumbushe ile nyimbo ya " wa Ujana wangu mimi BABA YENU"

  Halafu ndio utajiridhisha kua dunia hairudi nyuma sasa wewe unataka dollar ibaki 1200 tu .... Get lost...

  Wakati hujatukana wenzako jiangalie wewe kwanza unauelewa kiasi gani na hili ndio tatizo letu kila mwana JF anajiona yeye kichwa...

  Ok tukikua tutaacha.....
  Yani hizi nguvu tunazotumia kuwapigia debe watu fulani kana kwamba wakitawala wao tutakua peponi tungezielekeza kwenye maendeleo binafsi nchi ingekua mbali .
   
 7. G

  Godwine JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kama wewe ni mdau wa sekta hii utafahamu kuwa tayari shilingi ilianguka mpaka kufikia 1980 kwa dola sasa toka kipindi hicho kadri tunavyoweza kuishusha dola ndio tunaita shilingi imeimarika. usitumie takwimu za zamani sana kwani unataka kukumbushia enzi za nyerere shs 5 per dola?....mkuu nadhani umenipata
   
 8. c

  chingunduli JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 272
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mwalimu gani kakwambia kwamba ni lazima USD iwe inapanda kadri miaka inavyosonga mbele, kwa hiyo mwaka 2020 dola inatakiwa iwe kiasi gani?
   
 9. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  uyu jamaa tumrudishe class, maana kitu kinapima maendeleo ya nch ni inflation. Sasa dola kupanda maana yake inflation ipo juu,kilichotokea sasa ni kwamba Tsh imejitaidi kubaki kwenye tsh1595 mpaka 1590, haijapanda maana kunawakat ilifika 1785. So bado yatupasa kufanya kaz yaziada
   
 10. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  hili ndio tatizo ya kuchelewa kupata media mapema kutokana na baba yenu wa taifa me nakumbuka km sio 97,98, basi 99 dola ilikuma 700tsh na kaondoka mkapa imepanda hadi 1200 mwaka 2005 hebu nambie imeongezeka tsh ngapi hapo kabla hujamtetea babaako mkapa
   
 11. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mwaka 2005 1US$=126 JP YEN, mwaka 2012 1US$=78 JP YEN.

  Nani aliyekuambia dola inatakiwa ipande kadri muda unavyoemda?
   
 12. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  The problem is our dear shilingi is not STABLE at all.Unaweza kuta kesho imeporomoka balaa
   
 13. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hakuna lolote, kilichofanyika ni BOT kuachia mzigo wa kutosha ili kusaidia madafu yasipwaye!! Harafu pia, anayefanya hizi pesa zipande ni nani? Pengine wababe wa dunia aka wezi wa mali zetu wameona matoeo ya madafu kuendelea kuanguka kutawashtua wabongo na kuweza kuipiga chini serikali yao mapema, ndiyo maana wajanja wakaruhusu dola kibao ziwekwe kwenye mzunguko!! Otherwise, niambieni kuna nini ambacho tumeuza fasta fasta nakuweza kujipatia dola za kutosha kustablize TZS yetu ingawa mfumuko wa bei uko pale pale?
   
 14. k

  kamajana Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  pesa ya tanzania bado haijaimarika tusidanganyane. inflation kushukua kutoka 19.8 to 19.2 au 19.4 si kuimarika huko. bado tunasafari kubwa
   
 15. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa reference gani?
  imetoka kiwango gani kwenda gani?
  Acheni hasighara jamani we are in the deep shit!!!
   
 16. R

  Renegade JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,772
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Kinachofanyika ni kujaribu ku-stabilize Shiling ambayo imeachwa ianguke bila jitihada yoyote, serikali iamue moja ama kutumia Tshs. kwa transactions zote za ndani au iamue kutumia dollar.
  Kutumia Dollar kwa transactions za ndani kuna weaken Shillingi yetu.
   
 17. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Wakuu kuuliza si ujinga. Hivi kuimarika kwa shillingi dhidi ya US dollar inasaidia nini wananchi? Mbona bei za bidhaa zinazidi kuongezeka? Naomba munieleweshe, ni nani anaefaidika, ni mfanya biashara au Serikali?
   
 18. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Hili ndilo swala la msingi. Mfano, bei ya bidhaa za nyingi kawaida kama nyanya, vitunguu, nguo, nk. TZ (nazungumzia Dar ambako nakujua zaidi) siku hizi imekuwa juu zaidi kuliko Ulaya na US. $100 inanunua vitu vingi supermarket US kuliko Tsh. 160,000 supermarket/au hata sokoni TZ.
   
Loading...