Kuimarika kwa Shilingi ya Tanzania Dhidi ya Doller ya Kimarekani

Ile huyo Mmalawi - Mkulo -alisema hataki kusema ili wajanja wasijue upumbavu wake ? Nyoo. Hata kama imeiprove ni chembe ukilinganisha na walivyoikuta .
 
Alhamisi BOT walukuwa wanauza dola kama 1695. Inakuwaje commercial bank wanauza bei za kuruka? Au uchumi wetu nao ni made in India?
 
Mimi siangalii shilingi kwa muda mfupi, naagalia shilingi ya muda mrefu sana! Kama ilivyo shilingi ya Mkapa, hapo ndo nitasema shilingi iko shwari!
 
sure ni badiliko la Muda mfupi. Mimi nashukuru rate ya kuporomoka kwa Dhamani ya shilingi imepungua.

Was there any Measures Taken?

Mkumbuke Ijumaa doller iliku 1,850. Lakini Jumamosi ilikua 1,650.

Thats somehow good.
 
Mimi siangalii shilingi kwa muda mfupi, naagalia shilingi ya muda mrefu sana! Kama ilivyo shilingi ya Mkapa, hapo ndo nitasema shilingi iko shwari![/QUOTE

Nakuunga mkono kabisa hizi moves walizochukua BOT ni za muda mfupi in no time tutarudi kule kule!! Hayo madola walioyaingiza sokoni hayaendi kusaidia kuzalisha bali kurahisisha Capital flight!!]
 
Ndo picha nayochukulia mimi, tatizo tunaagiza sana badala ya kuzalisha!
 
sure ni badiliko la Muda mfupi. Mimi nashukuru rate ya kuporomoka kwa Dhamani ya shilingi imepungua.

Was there any Measures Taken?

Mkumbuke Ijumaa doller iliku 1,850. Lakini Jumamosi ilikua 1,650.

Thats somehow good.

Kuimarika kwa TSh. kuangaliwe kwa stability yake, hii kupanda na kushuka ni dalili mojawapo ya udhaifu wa sarafu yetu.
Appreciation tuliyoona juzi ni sawa na Panadol kwa mgonjwa wa malaria ikififia homa itapanda tena.
 
sure ni badiliko la Muda mfupi. Mimi nashukuru rate ya kuporomoka kwa Dhamani ya shilingi imepungua.

Was there any Measures Taken?

Mkumbuke Ijumaa doller iliku 1,850. Lakini Jumamosi ilikua 1,650.

Thats somehow good.

sasa unachokikenulia meno hapo ni nini? exchange rate $1 =Tsh 1650 ndo inakutoa udenda! kama una akili kidogo ya kuelewa ni kuwa nchi zenye hali ya maisha na uchumi mzuri exchage zao kwa dola is about 10 units. Subiri hadi iwe Tsh 10 = $1 ndo utoe udenda kama bado utakuwa hai na masaburi yako
 
pigeni kazi BOT acheni siasa uchwara,fedha yetu itakuwa ngangari. Nalog off
 
Mimi siangalii shilingi kwa muda mfupi, naagalia shilingi ya muda mrefu sana! Kama ilivyo shilingi ya Mkapa, hapo ndo nitasema shilingi iko shwari!
R u serious?
Shilingi ya mkapa ilikuwa inaporomoka with the same pace, if not worse..... lol
Lete numerali hapa, siyo porojo!!(nna dataz!)
 
do not talk about politics, shilling to gain its strength these are politics, we need to make a proper analysis before posting anything, shilling is still loosing its value, the closing rate of yesterday which is opening balance of today is tzs 1810.00, so what are u talking about brother!
 
Back
Top Bottom