Kuifanya bangi kuwa kosa la jinai naona kama siyo move nzuri

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,886
Serikali imeamua kubana zaidi matumizi ya bangi. Nchi nyingi zimegundua vita dhidi ya dawa za kulevya ni futile hivyo zimeamua kudecriminalize matumizi ya madawa ya kulevya. Kutumia madawa kwa baadhi ya nchi siyo kosa la kufungwa.

Nasikia nchi kama Ureno zimefanya hivyo, na matokeo yamekuwa mazuri. Na duniani kote kuna mijadala juu ya kudecriminalize matumizi ya dawa za kulevya, kwa nini sisi tunakuwa visengere nyuma?

Hili la kubana sana bangi litakuwa na matokeo mabaya na kujaza nguvu kazi jela, na kutumia resources nyingi za nchi kuthibiti.

Unaonaje hili suala la serikali kuongeza mbinyo kwenye bangi?
 
Hivi jinai ni kifungo chake inaweza kuwa miaka ngapi.

Wamekosea sana hizi dona zinazotengenezwa maabara ndo ziwe jinai ila siyo mmea ambao hautengenezwi unaoteshwa
 
Serikali imeamua kubana zaidi matumizi ya bangi. Nchi nyingi zimegundua vita dhidi ya dawa za kulevya ni futile hivyo zimeamua kudecriminalize matumizi ya madawa ya kulevya. Kutumia madawa kwa baadhi ya nchi siyo kosa la kufungwa.
Nasikia nchi kama Ureno zimefanya hivyo, na matokeo yamekuwa mazuri. Na duniani kote kuna mijadala juu ya kudecriminalize matumizi ya dawa za kulevya, kwa nini sisi tunakuwa visengere nyuma?

Hili la kubana sana bangi litakuwa na matokeo mabaya na kujaza nguvu kazi jela, na kutumia resources nyingi za nchi kuthibiti.

Unaonaje hili suala la serikali kuongeza mbinyo kwenye bangi?
Mini hapa nime note kisengerenyuma tu, na naitolea ufafanuzi ili tuone kama ilipaswa kutumika hapa au mdau amepuyanga! kisengerenyuma maana yake ni tendo rejelei/Rejeshi yaani kutanguliza kitu kisha kukirudisha kilipotakiwa kuanzia mfno kama ni movie hapa inaanza watu wakiwa msibani kusikitikia kifo cha mtu, alafu baadae wanarudi nyuma kuonesha chanzo cha kifo na baadae wanaendelea hadi kuonesha alivyokuwa alivyozaliwa na alivyosoma ili kuwaelewesha kwanini mwanzoni mliona msiba wake. OVAR
 
Back
Top Bottom