Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?

Pasco
..binafsi najua ni muendelezo wa De Docta Ignorantia, on learned ignorance
Pasco bana
Unatumia muda wako kujibizana na huyu aliyefukuzwa na Bavicha?
I take this girl as political wh0re.
Mkuu The Invincible, kusema ukweli, nimetokea tuu kukapenda sana haka kabinti!, kalipotimuliwa Chadema, nilikapigania sana tuu!,
Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
Ila kwa sasa she is my big boss!, sasa ni mwendo wa heshima adabu, hata kusema tuu kuwa li roho langu limekundondokea, sithubutu!.
P.
 
Pasco, i disagree with you, that those who still support ccm are ignorant or outright ------. Up to this moment there no other credible and trustworthy alternative to ccm...not chadema or ukawa.

THAT IS WHY FOR THOSE WHO ARE SENSIBLE AND LOVE THIS COUNTRY AND DO NOT HAVE HIDDEN PERSONAL AGENDA DO STILL CHOOSE CCM TO LEAD THIS COUNTRY. I LIKE THE OPPOSITION, BUT NOT THIS KIND OF "OPPOSITION" IN UKAWA AND LOWASA AND SUMAYE. Let the TRUE, CLEAN opposition grow and mature and Tanzanians will see SENSE in giving them this country to make MEANINGFUL and sustainable changes.
Mkuu Petition, kuna ukweli mchungu umeusema hapa!, natamani nichukue nyundo nigonge kwenye vichwa vyao to inject even some little sense into their big empty shells!.
P.
 
Wanabodi,
Salaam.

...
[/SIZE][/COLOR]

[*]Chaguzi nyingine zote, CCM imekuwa ikichaguliwa kwa walkover victory kwa ignorance tuu kwa sababu we had no choice to choose from, uchaguzi wa mwaka huu, tuna altenative, we have a choice kati ya kuichagua CCM au kuipiga chini!, watu tutaingia kwenye uchaguzi with choice na sio walk over kama mazoea, hivyo CCM ikichaguliwa tena, then hiyo ndio itakua choice yetu tumechagua tena kwa sababu na sio kwa mazoea ya ujinga (ignorance)!.
[/LIST]

Namalizia kwa kukumbushia lile swali la msingi, baada ya kusoma haya, kweli bado kuna watu wataichagua CCM?, na iwapo wataichagua tena CCM, kuichagua huku CCM, jee ni kielelezo cha kufanyika kwa informed decision au ni uthibitisho wa muendelezo wa ignorance ya Watanzania kuendelea kujichagulia tuu kwa mazoea?!.

Tafakari kwa makini, fikia maamuzi ya busara, hakikisha Tarehe 25 October, unajitokeza kifua mbele, kwenda kuitumia haki yako ya kidemokrasia kuamua hatima ya nchi hii kwa kupiga kura.

Nawatakia Jumatatu Njema.

Paskali

PASKALI, umerejea kwenye mada yako ya awali. Katika yote uliyokuwa umebandika, ni hilo moja la mwisho nitapenda kuchangia. Lakini, ili niielewe vema mada yako kuu, na jinsi wanaJF wanavyoichangia, nina maswali ya msingi yafuatayo, kwako:

1) Chama cha siasa ni watu, viongozi au sera na itikadi zake?
2) Wapiga kura huchagua mtu au chama? Rejea maudhui ya kampeni yo yote ya kila uchaguzi.
 
PASKALI, umerejea kwenye mada yako ya awali. Katika yote uliyokuwa umebandika, ni hilo moja la mwisho nitapenda kuchangia. Lakini, ili niielewe vema mada yako kuu, na jinsi wanaJF wanavyoichangia, nina maswali ya msingi yafuatayo, kwako:

1) Chama cha siasa ni watu, viongozi au sera na itikadi zake?
2) Wapiga kura huchagua mtu au chama? Rejea maudhui ya kampeni yo yote ya kila uchaguzi.
Mkuu Mwengeso,
Chama cha siasa ni watu, wanachama kwanza kisha sera na mwisho ndio viongozi. kwa siasa karibu zote za nchi masikini, watu wanachagua mtu kisha chama na sio sera.
P
 
Mkuu Mwengeso,
Chama cha siasa ni watu, wanachama kwanza kisha sera na mwisho ndio viongozi. kwa siasa karibu zote za nchi masikini, watu wanachagua mtu kisha chama na sio sera.
P
Kwa tafsiri yako hiyo ya chama na sababu ya wapiga kura kuchagua, basi siyo sahihi kuendesha kampeni ya kutaka kutokuichagua CCM!

Siyo wapiga kura tu, wa nchi maskini huchagua mtu badala ya chama (kwa maana ya sera), pia viongozi wakuu wa vyama vya siasa hawajui maana halisi ya chama. Ukweli huu unajidhirisha katika hotuba zao za "kukikosoa chama tawala" au katika kampeni za uchaguzi, hutawaliwa na vijembe, kejeli na kebehi dhidi ya viongozi wa chama pinzani, badala ya kujikita na mijadala ya sera za vyama. Hata waliochaguliwa kuhama chama, tumesikia wakisema wamehama kwa sababu ya utendaji wa kiongozi upande huo walikohamia.

Ujumbe mzito wa kuwafikishia viongozi wa vyama vya siasa ni:

ENEZI SERA NA ITIKADI ZA VYAMA VYENU, badala ya kuongelea watu (kwa maana ya viongozi). Watu wataondoka, chama kitakuwepo milele.

PASKALI.
 
Watu kama hawa ndiyo mtaji mkubwa wa ccm kuendelea kubaka demokrasia hapa nchini na ndiyo walio wengi sana,hapa Nape akipita juu ya migongo ya kina mama kisa ni kipi?ujinga ulio pitiliza!!!!View attachment 840926
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli huu ndio mtaji wa ushindi wa CCM, japo wewe umeuita ni ujinga, kwa wajinga hao, kwao hayo ni mapenzi kwa CCM, kwa CCM wenyewe, huo ujinga ndio mtaji wao!.

Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo cha umasikini wa taifa letu, rushwa na ufisadi?! - JamiiForums

Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance? - JamiiForums

Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance? - JamiiForums

Umechoshwa na Ujinga, Umasikini, Maradhi, Rushwa na Ufisadi?!, 25/10 "Give It, "Just One More Try!" - JamiiForums
P
 
Wanabodi,
Salaam.

Is CCM Fooling Us Around?
Kuna msemo usemao "You can fool some people for some time, but you can't fool all the people all the times!".
Ikitokea kuna watu ambao wote wanakuwa fooled all the times, then watu hawa watakuwa ni a bunch of fools and ignorants!. Jee sisi Watanzania wote ni a bunch of fools and ignorants?.

Kumbe unaamini nguvu ya CCM ipo kwenye ujinga 😂
Mkuu Gichbo, karibu mitaa hii
P
 
Back
Top Bottom