Kuichagua CCM ni Sawa na kuendesha gari ukiwa umefumba macho.

Ciprofloxacin.

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Messages
1,443
Likes
2,204
Points
280
Ciprofloxacin.

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2015
1,443 2,204 280
Leo saa 12 majira ya alfajiri nimepigiwa simu na rafiki yangu kipenzi na kada wa ccm aliyetukuka.
Nina muda sijawasiliana naye ,ila kabla ya hapo nilidokezewa kuwa amesimamishwa kazi ,alikuwa ktk lile kundi la ajira 5000 zilizositishwa wakati wakiwa tayari wamesaini mkataba,na baada ya kupata matatizo ya kukosa ajira akiwa na muda mfupi tu tangu atoke chuoni hakunitaarifa, nami nikaamua kukaa kimya.
Sasa leo kanipigia simu,anaomba nimpe elfu 10,hali ni mbaya tangu jana hajala, akaanza kukumbuka maneno yangu niliyokuwa namwambia kuwa "CCM ni chuma chakavu "ina miaka zaidi ya 50 madarakani lakini kila Rais anayeingia madarakani anakuwa yupo Kwa maslahi ya chama chake na siyo Kwa maslahi ya taifa.
Hakuwa akinielewa, sasa yamemkuta baada ya kumtumia pesa akasema "Kuchagua ccm ni sawa na kuendesha gari ukiwa umefumba macho ".
Nimemjibu kuwa, hadi matatizo yawakute ndo akili zinaanza kuja na bado.
 
Tetty

Tetty

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Messages
26,396
Likes
17,642
Points
280
Tetty

Tetty

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2012
26,396 17,642 280
Leo saa 12 majira ya alfajiri nimepigiwa simu na rafiki yangu kipenzi na kada wa ccm aliyetukuka.
Nina muda sijawasiliana naye ,ila kabla ya hapo nilidokezewa kuwa amesimamishwa kazi ,alikuwa ktk lile kundi la ajira 5000 zilizositishwa wakati wakiwa tayari wamesaini mkataba,na baada ya kupata matatizo ya kukosa ajira akiwa na muda mfupi tu tangu atoke chuoni hakunitaarifa, nami nikaamua kukaa kimya.
Sasa leo kanipigia simu,anaomba nimpe elfu 10,hali ni mbaya tangu jana hajala, akaanza kukumbuka maneno yangu niliyokuwa namwambia kuwa "CCM ni chuma chakavu "ina miaka zaidi ya 50 madarakani lakini kila Rais anayeingia madarakani anakuwa yupo Kwa maslahi ya chama chake na siyo Kwa maslahi ya taifa.
Hakuwa akinielewa, sasa yamemkuta baada ya kumtumia pesa akasema "Kuchagua ccm ni sawa na kuendesha gari ukiwa umefumba macho ".
Nimemjibu kuwa, hadi matatizo yawakute ndo akili zinaanza kuja na bado.
Hope hujampa huo wekundu wa msimbazi.
 
Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,526,000