Kenyan-Tanzanian
JF-Expert Member
- Nov 7, 2006
- 302
- 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
KT,
Watu wengi wanasema wote waliiba kura- ila Kibaki alikuwa smart zaidi- sasa kwa nini basi kama wote ni wezi- wasibubali yaishe?
Je wizi sii wizi tu? Iwe kwa Raila au Kibaki?