Kuhusu wenyeviti wa vijiji au mitaa

haloo

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
570
250
Habari zenu wanajamvi
Leo majira ya saa mbili asubuhi niliangalia kipindi cha tuongee asubuhi .Mada ya kipindi hicho ilikuwa serikali kuwanyang'anya mihuri wenyeviti wa mitaa|vijiji na kuwapa watendaji wa mitaa.
Je swali langu hili ni kwa nchi nzima au baadhi ya sehemu tu?
 

haloo

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
570
250
Katika television ya star TV mgeni alikuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni
 

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,175
2,000
hawa viongiz ni un professional, credibility hawana, integrity ni sifuri, hawana vision, wamechoka, wasubiri chaguzi kuu na By election.

Sijui wamewekwa na nani, nani anawadanganya kuna ulaji tena. Kweny shina la maedeleo Bora wangeteuliwa
 

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
5,138
2,000
Dar walishanyanganywa na mh. Makonda, Mwanza waligoma maana wana backup ya .........uchochezi uchochezi ngoja nikae kimya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom