Kuhusu website ya utumishi

Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
18,720
29,240
Habari za mchana ndugu zangu.

Naomba mnisaidie jambo moja. Ni jinsi gani naweza jua kuwa nimeitwa ktk usaili kupitia website ya umishi?
Wengi walinielekeza niangalie matangazo.. sasa nimepata shida kidogo kwani matangazo ninayo yaona kwenye website ya utimishi(ajira portal) ni yale yenye nafasi za kazi latest.

Naomba kufahamishwa ni jinsi gani naweza jua kuwa nimeitwa usahili?
 
Simple sana, utumishi wakishatoa list ya watu wanaohitajika kufanyiwa usaili, huwa wanaweka attachment ya document (PDF) na hilo tangazo husema kabisa yakwamba "WALIOITWA KWENYE USAILI" , Wewe chakufanya ukishafungua hiyo website na ukaona hilo tangazo lifungue then evacuate hiyo PDF na ufuatilie jina hadi jina kama umo utaliona jina lako kama haumo basi hukustahili hata kuitwa kwenye usaili, kila rahel
 
Uwe unapitia www.ajira.go.tz mara kwa mara... Chini ya nafasi za kazi kuna sehemu ya walioitwa kwenye usaili
Kama hivi
Screenshot_2018-09-20-17-24-57.jpg
 
Back
Top Bottom