Kuhusu Website:Elewa kuhusu TLDs free,premium na Paid

S

SMARTWEBTZ-net

Member
Joined
May 28, 2017
Messages
73
Points
125
S

SMARTWEBTZ-net

Member
Joined May 28, 2017
73 125
Habari
Katika kupeleka website mtandaoni moja kati ya jambo la muhimu katika kuzingatia ni uchaguzi wa domain name.Katika kuchagua domain name kuna kitu kinaitwa domain name ambapo huwa kuna kikoa ambacho kinaitwa TLD(TOP LEVEL DOMAIN) ambacho ndio sehemu ya mjadala huu

TLDs ziko nyingi sana na uchaguzi wa TLD unahitaji uelewe hasa kazi ya TLD.mara nyingi tumezoea ,com tlds ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu na ni maarufu ila pia kuna TLD ambazo sio maarufu lakini pia zipo kama vile .africa na nyingine kama hizo.Pamoja na tofauti ya TLDs ila kazi za TLD ni moja na zinafanana.Zinawezesha tovuti yako kupatikana katika browser.

TLD zetu huwa zinatumia mfumo unaofanana ambao unakuwa na nameservers pamoja IP address ambayo inaelekeza server yako ilipo ambapo file zako zimehifadhiwa.Hivyo basi bila kujali iwapo TLD yako ni .com au .co.tz au.ml au .gov zote zitakuwa zinafanya kazi hio hio hapo juu.

Pamoja na kwamba watu wamezoea labda .com ila kwa sasa zipo TLDs nying zinazoibuka ambazo kimsingi zinawezesha watu wengi zaidi kuweza kuingia mtandaoni bila tatizo lolote.

Hivyo basi unapotaka kununua domain name hakikisha unachagua kikoa au jina kulingana na mahitaji yako ila usisahau kwamba ufanyaji kazi unalingana
 
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
4,350
Points
2,000
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
4,350 2,000
Noted
 
sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
1,919
Points
2,000
sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
1,919 2,000
Niltaka kutoka bila kukupa like
 

Forum statistics

Threads 1,334,284
Members 511,934
Posts 32,471,852
Top