Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,177
- 3,316
- Thread starter
- #21
Ndio director ndo kila kitu na yeye ndio mwenye vision. Ila wamejitahidi haya makosa ni rahisi kurekebisha. Labda tutaona improvements muda unavyozidi kwenda.Yeahh..to some extent 😉😉
When you put it like that...I agree!
There is still a lot to be done in that department. Haswa upande wa Director maana yeye ndo anaweza ku-influence how an actor delivers his/her lines. Ubaya ni kwamba Director ndo anaweza kuwa na hiyo weakness and he is rubbing it off on his/her actors akidhani ndo sahihi.