Kuhusu wanahabari kuigomea serikali na kundamana kupinga Mwanahalisi kufungiwa

Bora Kubenea kuliko watu kama Mwakyembe ambao elimu yao haina faida kwa Taifa .Kubenea he just came back from Holland anakosoma MBA yake Chuo Kikuu cha Wagenigen unaongea ukiwa umechomekwa kitu nini wewe mjinga

Why Holland? vyuo vingine bwana, vinampaje mtu masters bila kuwa na degree wala advanced diploma? ndiyo maana hajui hata sheria iliyofungia gazeti lake.
 
inaezekana elimu ni ya darasa la saba... Lakini kumbuka kuna tofauti kubwa kati ya elimu na uwezo wa kufikiri...


Uwezo wa kuwadanganya watanzania? Huyu jamaa naona Tindikali ilimchanganya sana.
 
kule china mtu mwenye mawazo kama wewe ananyongwa kwa kuwa ni hasara na laana kwa taifa !

Yaani unaita Iringa kwenu CHINA kajinyonge basi ila ukweli utabaki pale pale kuwa Kubenea anadanganya wajinga ambao hawajui kuwa yeye ni kibaraka wa CDM.
 
Kuna mambo ya haraka ya kufanya kwa wanahabari wenye uchungu na taifa letu. Kwa kufungiwa gazeti la mwanahalisi ambalo lilikuwa linaanika madudu ya serikali ya Kikwete ikiwemo kutekwa ka Dr Ulimboka wanahabari wanatakiwa kufanya mambo mawili makubwa haraka iwezekanavyo. Moja ni kugoma kuandika habari zote nzuri na taarifa zinazohusu serikali ya CCM na chama cha CCM. Zile habari za kashfa tu za wanasiasa wa CCM na serikali yake ndiyo ziandikwe. Pili ni kufanya maandamano kupinga wanahabari kunyimwa fursa ya kutumia taalamu yao na haki yao ya kuwasiliana kwa uhuru.

Sababu za kugoma kuandika mambo ya serikali na CCM na pia kuandamana wanahabari kupinga kufungiwa gazeti la Mwanahalisi zipo. Uwezo wa kugoma na kundamana upo na nia ya kugoma na kundamana ipo. Haiwezekani serikali iwachagulie wanahbari nini cha kundika. Hiyo itakuwa siyo undandishi na ukandamizaji wa namna hii haukubaliki. Serikali na CCM wanataka wanahabari waripoti habari kama gazeti la Uhuru, Mzalendo, Habari leo, TBC zinavyoandika? Haiwezekani. Wakati ni sasa kwa wanahabari kuigomea serikali na kuandamana kupinga wanahabari kufungwa vitambaa mdomoni na kupinga kufungiwa gazeti la Mwanahalisi. Mpaka pale serikali itakapo lifungulia gazeti la Mwanahalisi ndiyo wanahabari waanze kuandika taarifa za serikali na habari za serikali. Kwa sasa ziandikwe habari za kashfa za serikali na wanasiasa wa CCM.
Akili yako yakufikiri ndio imeishia hapo? Kumbuka UHURU wa uandishi bila MIPAKA ni sawasawa na WENDAWAZIMU. Kubenea ameonywa zaidi ya Mara 20 kuandika habari za kizushi na ili Hali kesi iko mahakamani, serikali walivyo fanya ni sahihi kabisa. Km kuacha kuandika km ulivyo sema waache tu na hakuna atakae nunua magazeti uchwara labda ww na familia yenu
 
mhariri mkuu wa Mwanahalisi Said Kubenea elimu yake ni darasa la saba(7)! habari za mwanahalisi ni za kizushi zaidi!

Unajua jamii forum inasomwa na watu wengi including STD 7 hivyo tusiwa-discourage S.T.D 7 wakaonekana kama watu wasiokuwa na mawazo mazuri na hayafai kwani hata sie tuliobahatika kuvuka hiyo level wakati mwingine huwa tuna mawazo yasiyojenga pamoja na elimu kubwa kwani elimu ya Tanzania hasa ya miaka ya karibuni ina walakini kwa baadhi ya watu
 
wanahabari hamna ushirikiano. nakumbuka siku zile mulikubaliana Mkuchika asiandikwe kwenye magazeti kama adhabu ya kulifungia mwanahalisi lakini cha ajabu naada ya siku tatu tukaona picha zake kwenye magazeti hasa uhuru, habari leo na mengineyo. Yawapasa kupitia upya sheria zinazo waongoza. mia
 
Mawazo sahihi, kwa mahali pasipo sahihi, kwa TZ, haiwezekani. waandishi wana njaa kibao, wakitukuza serikali, huenda siku moja wakawa wakuu wa wilaya, wee acha tu.
 
Tatizo magazeti mtaji wao ni matangazo especialy kipindi hiki cha bunge zile bajeti ndo biashara yenyewe. Sasa watagomeaje mshiko? haiwezekani hiyo ndugu. Serikali ndo dume lenyewe na wana habari ni majike, kilichopo tuende masjid na church tuombe nchi itawaliwe kwa haki na usawa. God be with us.

Mkuu ulisahau kumalizia sentesi yako.
 
Hamuwezi kulinganisha Mwanahalisi na gazeti jingine lolote hapa Tanzania, labda Raia Mwema. Takataka kama vile uhuru, Jambaleo, habari leo, Daily news yote kazi yao kubwa na kalamba m***** ya wakuu wa CCM, aka mafisadi.

Tuone sasa kama wataitafuna nchi in peace!
 
mhariri mkuu wa Mwanahalisi Said Kubenea elimu yake ni darasa la saba(7)! habari za mwanahalisi ni za kizushi zaidi!
Pumbavu kabisa wewe....unadhani kusoma academic ndiyo kuwa na akili....wenye uwezo wa akili Africa ni wale waliyo soma Kayumba.hata wewe uelewa wako nifinyu...pumbavuKubenea anaweza fanya kuiko wewe uliye soma hadi PHD ****.elimu yenyewe ni kupimwa kwa mitihani ya wezi tu...unajidai umefaulu..stupid you.
 
Uwezo wa kuwadanganya watanzania? Huyu jamaa naona Tindikali ilimchanganya sana.

Wewe ndiyo umepumbazwa na ssiemu. Pingu za akilini zinakuumiza sana, ni kheri pingu za mikononi. Unaona raha sana kutetea wezi.

Kwa nini serikali iliufyata kumpeleka Kubenea mahakamani -- kwa sababu ingeshindwa kwa hoja, kuna mawakili 5 walikuwa tayari kumtetea, na sioni wakili wa serikali angeweza kuwamudu, na ndiyo maana serikali ikaogopa kushindwa.
 
Serikali imetupunguzia uchafu kwa kulifungia hili gazeti. Inatakiwa tuwashukuru

Ili muwaibie wananchi masikini kwa raha? Kwanza nyie mbona huwa hamjibu hoja hizi za wizi wa chama chenu na serikali yake unaotangazwa kila siku magazetini (pamoja na magazeti yenu ya Uhuru, habari Leo etc), na Bungeni? Mnakuja tu na majibu ya kijuu juu tu. Jibuni hoja, watetezi wa ufisadi nyie, na watu wa kutupiwa makombo kutoka kwao.
 
mhariri mkuu wa Mwanahalisi Said Kubenea elimu yake ni darasa la saba(7)! habari za mwanahalisi ni za kizushi zaidi!
Serikali imetupunguzia uchafu kwa kulifungia hili gazeti. Inatakiwa tuwashukuru
Kubenea is very small organisms (Micro-0rganisms), hata asipomfahamu hakuna atakayeshangaa.
Come on guys, this is JF!...I wouldn't be surprised if any of you three morons decide to put lipstick on your foreheads and to stupidly believe that (in that way) you'd be trying to makeup your minds!
 
Bora Kubenea kuliko watu kama Mwakyembe ambao elimu yao haina faida kwa Taifa .Kubenea he just came back from Holland anakosoma MBA yake Chuo Kikuu cha Wagenigen unaongea ukiwa umechomekwa kitu nini wewe mjinga

Uholanz anasomea certicate of journalism and democracy hiyo MBA uko wa Kubenea hakuna mwenye sifa kwa sasa labda mtoto wake atakuja soma MBA
 
Naona bora aliyetumwa na wa chama tawala, nina wasi wasi kuwa Mwanahalisi, CDM na wale wanaojiita wanaharakati ni vibaraka wa wazungu. Angalia Kagame alivyokuwa kibaraka wa Wazungu muda mrefu, sasa wamemgeuka.

Wewe ndiyo kibaraka mkubwa wa wa mafisadi ndani ya CCM. Siku yenu ipo, na kujikomboa ni lazima, kuporomoka kwa CCM ni dhahiri kabisa, ndiyo maana mmeingilia kuuwa watu, kuwapiga, kufunga magazeti -- zote hizo ni dalili za mfa maji. Just you wait. Kumbuka Gaddafi, Hosni Mubarak, who expected those to go the way they did?

Hivi unajuwa mipango ya Mungu kwa nchi ya hata katika wiki mbili zijazo? Kuna siku mtatafuta pa kukimbilia.
 
Wameongeza usafi kwa kuyaachia Alhuda na Annuur

Nakwambia serikali ya magamba sasa hivi imechanganyikiwa kweli kweli, na hasa mukulu wao wa Magogoni. Ulimuona jana? Analetwa kijimemo kuhusu bei ya CT Scan na anaingia kichwa kichwa kuisoma na hapo hapo kuudanganya umma wa Watanzania!

Hebu niambie, Kubenea angeweza kufanya kituko kama hicho katika maandishi yake? Angefanya uchunguzi wa kina kuhusu bei ya CT Scan.

nasema uwezo wa mjamaa wenu huyo katika kufikiri ni mdogo sana, Kubenea kamuacha kwa mbaaaaali!
 
Back
Top Bottom