Kuhusu walio chaguliwa nafas za kazi TRA hivi karibuni

Latoya

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
660
455
Habari wanabodi.
Naomba nideclare interest,nimekuwa nikifatatilia toka kutangazwa kwa nafasi za kazi TRA,interview,majibu hadi kupatikana kwa walobahatika.

Kuna classmate wangu nilisoma naye a level special school flan hapa Tanzania,yeye akiwa boys mie nikiwa girls.

Miaka imeenda maisha yamebadilika and all that,mimi baada ya kugraduate tu niliajiriwa private firm then after a year nikaajiriwa serikalini,ambapo nipo hadi sasa.

Bahati nzur au mbaya yeye hakubahatika kuajiriwa toka tuna graduate kwakuwa tulimaliza mwaka mmoja varsity ila vyuo tofauti.

Walipotangaza nafasi akanitafuta akanambia nimpigie pande apate kwa wakubwa,nikamwambia hata bila wakubwa If you good utapata,anza kujiandaa tu.nilimjibu hivyo kwan sikupata support ya wakubwa kuingia government.nikamwambia anza kujiweka vizuri tu anzia oral hadi interview.

Kweli aliitwa interview akapita oral,akanijulisha kapeta nikampa moyo na kumsihi aendelee kujiweka vizuri upstairs,ingawa alinisihi sana nimpigie pande bt nilimsisitiza jiandae vyema ndo silaha and to pray hard.

Akaenda written matokeo yakatoka,hakuwepo kabisa binafsi nilisikia vibaya kwani nilikuwa na opportunity ya kumbeba bt i thought he is good atapeta tu.

Kuna mdau anaitwa perry amekua akipost na kuonyesha kuhuzunika kukosa post TRA,nikajisikia vibaya sana kwani nimekuwa namcall rafiki yangu but hapokei simu zangu wala kujibu text.

But my friend,jipe moyo wakati ukifika you will not regret.nikiri nilichukulia poa suala lako ila kama mtumishi wa umma nilipaswa kuacha system ijudge na kuamua wanaodeserve the most.

So kwako perry ,my friend na wote mlokosa post hizo jipeni moyo wakati wa bwana ukifika itakuwa tu.
 
Huu ndio tunaita utunzi mzuri wa story.
 
naona mmeanza kunitumia kama reference katika case study zenu...mkuu labda nikuambie tu,kilichoniuma mimi ni kushuhudia baadhi ya watu ambao hata maombi hawakutuma lakini kazini wanaitwa,ila kupata kazi au kukosa yote kwangu yalikua ni majibu coz Tanzania mambo yote yanawezekana na vile vile sio kwamba sina kazi ya kufanya kwa sasa,ilikua ni njia ya kutafuta job security na better payments,ila all in all nimeplay my part nikamuachia Mungu nae aplay part yake ila ndo vile hakua upande wangu,kupata 76% oral interview halafu ukaachwa kuitwa kazini na wakati huo huo kuna watu wamepata 55% wameitwa kazini ni jambo la kushangaza sana.
 
Tuliza munkari mkuu, unaweza kuwa umepangiwa fungu zuri zaidi inagwa kwa sasa ni ngumu sana kuamini na kukubali hali.
 
Watu kama nyie mna roho mbaya, kama upo katika nafasi ya kumsaidia mtu kwanini usisaidie?

Akaenda written matokeo yakatoka,hakuwepo kabisa binafsi nilisikia vibaya kwani nilikuwa na opportunity ya kumbeba bt i thought he is good atapeta tu.
 
Yes katika maisha hakuna kuwahi wala kuchelewa,kila kiumbe na muda wake,i wish ningejua asingepata ningembeba but hata hivyo kiapo cha uadilifu kilinifunga so i had to let the process be.
System bongo haijatulia kiasi hicho dada yangu, forgery na magumashi sana tu. "But One Day Yes" wazungu wanasemaga...
 
Back
Top Bottom