Nakataa kuhusu uume mdogo a.k.a kibamia

Google Diggers

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
940
1,123
Hii mitandao inaharibu Sana watu. Hasa sisi wanaume.

Leo wakati fulani napitia blogs na YouTubers jamaa mmoja anaelezea kwanini uume mdogo na namna ya kufanya uwe kama muhogo.

Nikichoelewa ni kwamba wanatuharibu Sana kisaikolojia. Sio kweli kwamba inch 4 ni kibamia. Nakataa Kwa sababu na Mimi napimaga wakati fulan naona inachezea kuanzia 4 na ikiwa 5 hadi 6 ni pale ninapokula virutubisho na kufanya mazoezi.

Lakini Hawa jamaa Wanadanganya Sana Wanaume tunadanganywa Ili hali tuna nguvu na tunakila afya kuendelea kufaidi punyenye. Hawa YouTuber wanafanya biashara ilinl u subscribe wapate pesa.

Mimi uume ukiwa around 4 Hadi 5 nakuwa na challenge zangu nazijua, Kwa mfano nakuwa na uume wa urefu wa 4 au 5 nikiwa na stress, sifanyi mazoezi, sili chakula Bora nk.

Lakini pia uvaaji wa boxer nk. Haya Mambo hupunguza nguvu ya ukuaji wa uume na kupanuka.

Sometimes uume unakuwa mwembamba lkn mrefu na wakati mwingine unakuwa mnene wa kawaida nikifanya mazoezi nanikila vzr. Pia psychology yangu ikiwa 80% katika mood. Na tendo nainjoi vzr tu.

Hawa matabibu wa mitandaoni kuweni makini nao Sana Tena Sana. Wengine nikiwasikiliza nawaona wako obsessed tu na ngono.

Wengi wetu hatuna tatizo zaidi ya kuwa na wasiwasi.

Sasa nini chakufanya.

1. Hakikisha unafanya mazoezi. Jenga tabia ya hata kuruka kamba, Mazoezi zaidi chini ya eneo la tumbo kushuka chini .

2. Kula Milo kamili, achana saaana na wali na ugali Sonia, changanya, matunda,mboga mboga, nyama samaki maziwa, kula mara 5 Kwa Siku. Kwa mfano.

Saa 1 asubuhi Break fast just a Hot drink, usile asubuhi kunywa chai, kawaha nk.

Saa nne kunywa vizuri, au maziwa, supu, chapati kias, usikose mboga mboga, kias tu.

Saa Saba mchana pata lunch sio saa tisa.

Saa kumi,pata beverage kiasi, tafuna mahind karang nk. Chai ya saa kumi Ile.

Mliizia dinner. Saa kumi na Mbili hivi. Usile usiku mkubwa. Iwe umechekewi Sana saa mbili. Na ikiwa ni usiku kula kitu Laini. Chepesi
 
Hii mitandao inaharib Sana watu. Hasa sisi wanaume.

Leo wakati flan napitia blogs na YouTubers jamaa mmoja anaelezea kwanini uume mdg na namna ya kufanya uwe na muhogo...
Wewe ndio muongo Sasa yaani ukifanya mazoezi uume unaongezeka kivipi au usipofanya mazoezi eti unakuwa ndogo HAPANA. WEW NI MUONGO SANA

wewe ndio unamiliki kibamia namba mbili nchi nzima lemutuz kuwa ndio mmiliki namb moja

Adhar za kutahiriwa mkiwa wadogo ndio hyo
 
Wee ndio muongo Sasa yaani ukifanya mazoez uume unaongezeka kivip au usipofanya mazoez eti unakuwa ndogo HPN. WEW NI MUONGO SANA...
Umenichekesha Sana. Lkn nimekuelewa tu kuhusu tatizo la kifkra. Tatizo sio kibamia tatizo ni wewe na akili yako. Fikiria kama unasex na unajua kuichezea mashine na papuchi vema.

Tatizo linabaki wapi kama sio Kwa yule anayewaza.
 
Kibamia au lidude, lengo ni kwaajili yako binafsi au kwaajili ya kujitutumua kwa -ke?

Wanaume tuanze kuwa wabinafsi kwa ustawi wa maisha yetu bora!

Jali furaha yako, afya yako, raha yako, mali yako! Kila mtu ajihangaikie eti! Ukishamaliza kale ka kwanza, iwe kwa selfie, kununua au kwa anayekumiliki, jiswafi, jipongeze moyoni kisha chukua kimiminika bariiiiiiidi cha kujipongeza mdomoni hadi kooni, panga mipango yako ya fwedha taraatibu huku ukitabasamu tabasamu.

Inakuhusu nini? Atajua mwenyewe, ndio nini labda kwa mfano! Akakitembeze tu, si chake! Wanaachwa akina Pique na Cena, Gates, itakuwa wewe mdaslamu!

Mtaa ninaoishi, nina wafahamu WAJANE 9, hakuna sijui ndo atakuwa MGANE, hata mmoja aliyefiwa na mke mpaka sasa!

Tunajiingiza wenyewe kwenye kundi la "viumbe walio hatarini kutoweka ulimwenguni"
 
Hili tatizo ni kweli linawakosesha Raha wanaume wengi Sana na hii ni kutokana na mambo ya kuangalia video za ngono,watayarishaji wa video hizo wanataka wawaaminishe watu kuwa ukiwa na uume mkubwa ndo unainjoy sex kitu ambacho si kweli,na kibaya Zaidi wanawake ktk video hizo wanaonyesha wanapenda uume mkubwa hii yote ni propaganda zao Tu,na bahati mbaya tumezikubali na tumeziamini.

Hivi mnajua kuna wanawake hawa enjoy kabisa Kwa hiyo migobole mikubwa Ila pa kuyaongelea hakuna,kama walivyo wanaume wameumbwa Kwa saizi mbali mbali na wanawake nao pia Wana saizi mbali mbali, tumeumbwa tofauti tofauti ili wote tuinjoy sex na wale tunao endana nao,lakini inasikitisha Sana kuona wanaume siku hizi wanapata stress Kwa kuamini propaganda za baadhi ya watu tena wengine wanataka kufanya biashara Tu.

Kamooni guys ebu tushituke tusiwe wafungwa wa fikra zetu,tutoke Katika hii minyonyoro inayotufunga na kufanya tusijiamini Kwa maumbile tuliyoumbwa nayo.

Jiamini na piga shoo ya kibabe Kwa kile ulicho jaaliwa nacho.
 
Naunga hoja kwa sababu zifuatazo:

Unajua kuna showers na growers maana yake ni nini? Showers ni watu wanaonekana wana uume mkubwa wakiwa uchi ila wakidindisha inaongezeka inchi kidogo tu. Hawa growers ni watu ambao uume unaonekana kama wa mdogo akiwa uchi ila akidindisha anaongezeka inchi ukubwa wake unaridhisha tu. .

Unajua siku hizi tuna kizazi cha ovyo sana hususani kutokana na kwamba watu wanafanya sana umalaya. Ukiwa na mwanamke mmoja basi ataenda sawa na maumbile yako. Ila mwanamke anayetanuliwa ivyo na kila size ya uume na ukichanganya na vitu anavyodumbukiza kumani inapelekea kuonekana kibamia kwa babahu teyari anadumbukiza vitu vizito. .

Ushauri wako wa kula chakula vizuri na kupunguza mafuta maeneo ya tumboni nmi ushauri mzuri sana. Watu wanene wanaongoza kwa kuwa na uume mdogo kutokana na mafuta kuwa mengi na kumeza uume. Ukifanya mazoezi na kupunguza mafuta kunaweza kukusaidia kukupa maumbile sahihi. Kuna kitu kinaitwa penis shrinkage na ikiendelea inaweza kukuletea burried penis. 👇

index.jpg1.jpg


Sasa ukiwa na mwili wa kizembe inapelekea baadae uje ufanyie operation ili kusukuma uume ulioingia ndani utoke nje. Uume unamezwa na mafuta yanayojihifadhi mwilini. Nimeonyesha kwenye picha hizi mbili ambazo wnaonyesha kabla na baada ya mtu kufanyiwa operation. Kuna kitu cha kujifunza kwa hapa.

12894_2004_Article_27_Fig1_HTML.jpg


Unajua kipindi cha nyuma kidog mwanamke ukimwingiza kidole kimoja alikuwa anaridhika na anapiga kelele za utamu vizuri tu kwa kuwa anausikia.

Sasa hizi tabia unakuta mwanaume anaingiza mkono wote unapotelea kumani inapelekea misuli ya kumani kutanuka na mwisho wa siku hutoweza kumridhisha.

Natoa rai yangu kwa wanaume ili usionekane kibamia tafuta mwanamke ambaye anaendana na wewe na anafurhia anachokipata kwako.

Acheni kuangalia porn na mambo kama hayo vijana yanawaharibu akili vibaya mno. Pia acheni kutumia vumbi la mkongo au viagra linaleta uhanithi.
 
Acha kutahiri watoto wakiwa wadogo. Utume unakosa nafasi ya kunyumbulika. Wamasai na wakurya waliona hili wakaweka ratiba ya kuwatahiri vijana wakiwa na umri wa miaka zaidi ya kumi.

Wasukuma na Wahaya wanatahiriwa wakiwa watu wazima na makabila haya ni nadra kukuta vibamia. Njoo Dar sasa ukutane na 2".
 
Hili swala ni serious jamani. Binamu yangu kakutana na kaka mmoja mtanashati, ana hela na ana nidhamu sana. Sisi kama familia tukampenda. Dada bina wiki chache zilizopita katuambia anaachana na jamaa. Hatukumuelewa.

Nilimdodosa mpaka akaniambia. Jamaa ni kama hana hiyo naniliu. Si bamia tu ni kama karanga ikiwa ndani ya ganda.

Kasema ni bora amuache kwani atajikuta anacheat. Bina alikuwa na boyfriend wake waliodumu kwa miaka 4. Najiuliza ni kweli jamaa ana hicho kikaranga au bina anafanya ulinganifu sambamba?

Unaweza kuwa una kila kitu ila kumbe kuna kitu ukanyimwa kikakukosesha mwanamke wa ndoto zako.
 
Back
Top Bottom