Kuhusu utaratibu wa kuwapanga machinga wa soko la Kariakoo

Ngwakwiii

JF-Expert Member
Dec 6, 2019
425
526
Kama nilivyotoa heading kwenye kichwa cha habari

Nashangaa tuu viongozi wangu wa chama na serikali wanavyoendelea kuwapanga machinga kwa msururu kwenye barabara zote za mitaa ya kariakoo, hivi hawajui na watembea kwa miguu nao wana haki zao?

Je, wenye maduka na walipa kodi wao watapaki magari au toroli za kuleta mizigo madukani wapi wakati meza zimepangwa pembezoni mwa maduka yao?

Siku pakitokea tatizo fire watapitisha wapi usafiri wao kwa kuokoa maisha na mali za waathirika?

Any way siasa acha ichukue mkondo wake mpaka tukio litokee ndo watu waanze kulaumiana na kutumbuana
 
Wahusika waliangalie hili kwa jicho la tatu watembea kwa miguu hawana haki kabisa
 
Back
Top Bottom