Kuhusu utaratibu: Chadema yatangaza kufanya mikutano nchi nzima wataanzia vijijini, je mikutano ya kisiasa imeruhusiwa?

Sio rais, waziri wa mambo ya ndani wala IGP mwenye mamlaka ya kuzuia mikutano ya siasa na hii ni kwa mujibu wa katiba.

Tabia ya rais kutokufuata sheria ndio chanzo cha yeye kukosolewa mara kwa mara na yeye kusingizia kuwa anatukanwa kitu ambacho sio kweli.

Waache watu wafanye mikutano kama katiba inavyoagiza na hata wenyewe wanafanya na sote ni mashahidi.

Let the President and his cronies respect the rule of law and the laws of the land if he wants the people to reciprocate, otherwise they will have to brave the frequent ridicules and jabs.
 
Kumbukumbu zangu zinanijulisha kuna katazo la kufanyika kwa mikutano holela ya kisiasa isipokuwa ile tu inayohusisha wabunge katika majimbo yao ya uchaguzi.

Sasa Chadema ambayo haina wabunge nchi nzima imetangaza kufanya mikutano nchini kote, wadau hii imekaaje?

Maendeleo hayana vyama!
Imeruhusiwa kimya kimya. Polepole alikuwa Arusha juzi anafanya mikutano ya hadhara. Bashiru pia alikuwa mkoa wa Morogoro
 
Back
Top Bottom