kuhusu Usalama barabarani (tujadiliane hapa)

Little Dreamer

Senior Member
Sep 12, 2017
178
149
Kwa wale madereva na watumiaji wote wa barabara, karibuni hapa tujadili kuhusu changamoto mbalimbali ambazo tunakutana nazo tuwapo barabarani na kuzipatia ufumbuzi. na kama una swali liweke hapa!
 
Ahsante mtoa uzi,mimi nitazungumzia zaidi hii barabara yetu kuu ya B1 maana ninaitumia mara kwa mara,changamoto kubwa ninazokumbana nazo ni ;vibao vya usalama barabarani ni vidogo sana havisomeki kirahisi,matuta yasiyohitajika hasa kwenye freeway,mashimo hasa kipande cha Tunduma hadi Mbeya,msongamano hasa pale mbeya,mikumi,chalinze,taffic officers wasiojua wajibu wao.ufumbuzi wa matatizo haya ni kuifanyia ukarabati wa hali ya juu hasa kile kipande cha Tunduma to Mbeya,na kama 50kms kutoka Mbeya mjini towards Makambako;futilia mbali matuta na weka fixed cameras na pale mikumi national park weka camera za kurekodi muda ambao chombo cha moto kinasafiri kutoka point A to B;POLICE VISIBILITY ni muhimu mno SIO kijificha vichakani;na hawa watalaamu wetu wa Tanroads wafanye ziara kujionea wenzetu wa Zambia,Botswana wanafanikiwa vipi katika ujenzi wa barabara zao.
 
Back
Top Bottom