Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kuna jambo ningependa kueleweshwa kwa wenye uelewa kuhusu fedha za kodi tunazokusanya zinazichanganya kidogo nimesoma kwamba kabla ya Raisi Magufuli kuingia tulikuwa tumekusanya Bilioni 900 kwa miezi sita (6) na sasa tunakusanya zaidi ya trilioni kwa mwezi!
Sasa swali langu ni je, mimi ndiyo nimekosea kwamba hizo Bilioni 900 kwa miezi sita au ni kwa kila mwezi ?
Kama ni kweli ni kwa miezi 6 halafu sasa hivi tunakusanya trilioni moja kwa mwezi kuna kitu hakipo sawa, HAPANA hii haiwezekani, hivyo tafadhali namuomba mwenye uelewa aniweke sawa hapa!
Ni je Bilioni 900 kwa mwezi au Bilioni 900 kwa miezi sita (6)?