๐๐ข ๐ฏ๐ข๐ฅ๐ ๐ญ๐ฎ ๐ญ๐ฎ๐ง๐๐ค๐๐ซ๐ข๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ฐ๐ ๐ฎ๐๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐ ๐๐ฃ๐๐ฆ๐๐ ๐๐ก๐ข๐๐ข ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฎ๐๐๐ฉ๐๐ซ๐ข, ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ฎ๐๐ก๐ฎ๐ค๐ข๐ ๐ฎ๐ฃ๐๐ฆ๐๐!
๐๐๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ฆ๐ข๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ข ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ฃ๐๐ฆ๐๐ ๐ง๐ข ๐ฆ๐ข๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ข ๐ข๐ง๐๐ฒ๐จ๐ฃ๐๐ง๐ ๐ ๐ฎ๐ญ๐ฎ, ๐ฎ๐ฌ๐๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐ก๐๐ค๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐ ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐๐๐๐ฆ๐ฎ!
๐๐๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ง๐๐ฆ๐ง๐ ๐ญ๐ฎ๐ง๐๐ฏ๐ฒ๐จ๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ฆ๐ณ๐ข๐ ๐ฅ๐๐จ ๐ญ๐ฎ๐ง๐๐ฎ๐จ๐ง๐ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ง๐ข ๐ฆ๐๐๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ค๐จ ๐ฎ๐๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ฐ๐.
๐๐๐ญ๐ฎ ๐ก๐๐ฌ๐ ๐ฏ๐ข๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ข ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ญ๐จ๐ ๐ฆ๐๐๐ฆ๐ฎ๐ณ๐ข ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ง๐ ๐๐ณ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ข๐ฆ๐๐ญ๐๐ข๐๐ ๐ง๐ ๐ค๐ข๐ง๐๐ก๐ข ๐ก๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ ๐ฎ๐๐ก๐๐ข๐๐ฎ ๐ฐ๐ ๐๐ฃ๐๐ฆ๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐จ๐ง๐ฒ๐ ๐ฐ๐๐ฅ๐ข๐จ ๐ฐ๐๐ง๐ ๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐ฆ๐ข๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ข ๐ฒ๐ ๐ฎ๐๐จ๐ซ๐ ๐ฐ๐ ๐๐๐๐ฉ๐๐ซ๐ข.
๐๐๐ฆ๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ฅ๐๐จ, ๐๐ฃ๐๐ฆ๐๐ ๐ฎ๐ง๐ ๐๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ฎ๐ฆ๐๐ฌ๐ญ๐๐ฐ๐ข ๐ค๐ฎ๐๐ข๐ค๐ข๐ ๐ง๐ ๐๐ณ๐ข ๐๐ฆ๐๐๐ฒ๐จ ๐๐๐๐ฉ๐๐ซ๐ข ๐ฆ๐๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐จ ๐ฎ๐ฆ๐๐๐ข๐ค๐ข๐ ๐ฅ๐๐จ, ๐๐ฎ๐ง๐ข๐ ๐ข๐ง๐ ๐๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ก๐๐ฅ๐ข ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ๐ ๐ง๐ ๐ฉ๐๐ค๐ฎ๐๐ฎ๐ซ๐๐ก๐ข๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐ ๐ค๐ข๐ฎ๐ฆ๐๐!
wanafiki sanaWANAJIFANYA WAJAMAA WAKATI WANAISHI KIBEPARI...
ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Tena uliotopeaUjamaa ni umasikini....
inawezekana uko sawa,lakini jiulize kwanini wajamaa walishindwa kulinda nguvu zao na kuutapanya kote ulimwanguni,badala yake ubepari umefanikiwa.ukisema ujamaa wa kisasa utueleze utakuwaje.kumbuka pia asili yetu binadamu ni kuwa na vitu hasa ukisoma nadharia za Karl utamuelewa.Umeongea vyema
Socialism-Imperialism,labda ingefaa lakini si kushupalia ujamaa wa Nyerere miaka hii.๐๐๐ฉ๐ ๐ง๐๐ข๐ฉ๐จ ๐ญ๐๐ญ๐ข๐ณ๐จ ๐ฅ๐ข๐ง๐๐ฉ๐จ๐๐ง๐ณ๐ข๐.
๐๐๐ฆ๐ ๐ฐ๐๐ง๐ ๐๐๐ฆ๐ฎ๐ ๐ค๐ฎ๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข ๐ฎ๐ฃ๐๐ฆ๐๐ "๐ฌ๐จ๐๐ข๐๐ฅ๐ข๐ฌ๐ฆ-๐ข๐ฆ๐ฉ๐๐ซ๐ข๐๐ฅ๐ข๐ฌ๐ฆ" ๐ฅ๐๐๐๐ ๐ฅ๐๐จ ๐๐ฎ๐ง๐ข๐ ๐ข๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ฎ๐ฐ๐๐ง๐ฃ๐ ๐ฐ๐ ๐ฏ๐ฎ๐ซ๐ฎ๐ ๐ฎ ๐ง๐ ๐ญ๐๐ฆ๐๐ ๐ณ๐ ๐ค๐ข๐ฆ๐๐๐ข๐ฌ ๐ฅ๐๐ฆ๐ ๐ข๐ฏ๐ฒ๐จ ๐ฅ๐๐จ!
ngalia hata anayeushupalia hata hashtuki anaongea na kizazi cha namna gani,shida ni kuwa Butiku Babu hataki kukubali mabadiliko au anafanya kwa maksudi ili tuendelee kufikiri wako pamoja nasi.Sio tu hatuna eleimu ya ujamaa, bali hata waliokuwa na hiyo elimu ya ujamaa walifeli vibaya sana.
ikiwa walioanzisha ideology ya ujamaa walifeli, sisi tunaotaka kukopy tena ideology hiyo ndo tutafaulu kweli!!.
Tulifeli, tena wanataka kuturudisha katika felia hiyo!.
Ujamaa ni mfumo wa unyonyaji kuliko ubepari..
๐๐ข ๐ฏ๐ข๐ฅ๐ ๐ญ๐ฎ ๐ญ๐ฎ๐ง๐๐ค๐๐ซ๐ข๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ฐ๐ ๐ฎ๐๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐ ๐๐ฃ๐๐ฆ๐๐ ๐๐ก๐ข๐๐ข ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฎ๐๐๐ฉ๐๐ซ๐ข, ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ฎ๐๐ก๐ฎ๐ค๐ข๐ ๐ฎ๐ฃ๐๐ฆ๐๐!
๐๐๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ฆ๐ข๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ข ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ฃ๐๐ฆ๐๐ ๐ง๐ข ๐ฆ๐ข๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ข ๐ข๐ง๐๐ฒ๐จ๐ฃ๐๐ง๐ ๐ ๐ฎ๐ญ๐ฎ, ๐ฎ๐ฌ๐๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐ก๐๐ค๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐ ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐๐๐๐ฆ๐ฎ!
๐๐๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ง๐๐ฆ๐ง๐ ๐ญ๐ฎ๐ง๐๐ฏ๐ฒ๐จ๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ฆ๐ณ๐ข๐ ๐ฅ๐๐จ ๐ญ๐ฎ๐ง๐๐ฎ๐จ๐ง๐ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ง๐ข ๐ฆ๐๐๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ค๐จ ๐ฎ๐๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ฐ๐.
๐๐๐ญ๐ฎ ๐ก๐๐ฌ๐ ๐ฏ๐ข๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ข ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ญ๐จ๐ ๐ฆ๐๐๐ฆ๐ฎ๐ณ๐ข ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ง๐ ๐๐ณ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ข๐ฆ๐๐ญ๐๐ข๐๐ ๐ง๐ ๐ค๐ข๐ง๐๐ก๐ข ๐ก๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ ๐ฎ๐๐ก๐๐ข๐๐ฎ ๐ฐ๐ ๐๐ฃ๐๐ฆ๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐จ๐ง๐ฒ๐ ๐ฐ๐๐ฅ๐ข๐จ ๐ฐ๐๐ง๐ ๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐ฆ๐ข๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ข ๐ฒ๐ ๐ฎ๐๐จ๐ซ๐ ๐ฐ๐ ๐๐๐๐ฉ๐๐ซ๐ข.
๐๐๐ฆ๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ฅ๐๐จ, ๐๐ฃ๐๐ฆ๐๐ ๐ฎ๐ง๐ ๐๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ฎ๐ฆ๐๐ฌ๐ญ๐๐ฐ๐ข ๐ค๐ฎ๐๐ข๐ค๐ข๐ ๐ง๐ ๐๐ณ๐ข ๐๐ฆ๐๐๐ฒ๐จ ๐๐๐๐ฉ๐๐ซ๐ข ๐ฆ๐๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐จ ๐ฎ๐ฆ๐๐๐ข๐ค๐ข๐ ๐ฅ๐๐จ, ๐๐ฎ๐ง๐ข๐ ๐ข๐ง๐ ๐๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ก๐๐ฅ๐ข ๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฆ๐ ๐ง๐ ๐ฉ๐๐ค๐ฎ๐๐ฎ๐ซ๐๐ก๐ข๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐ ๐ค๐ข๐ฎ๐ฆ๐๐!
Hawezi kukupa jibuWapi ambapo ujamaa uliwahi kufanikiwa katika hii dunia?
Kijana unapojenga hoja kuwa uchumi wa nchi uachiwe sekta binafsi unatakiwa ujiulize swali moja la msingi ni akina nani hao? Je nchini yetu Tanzania inao wangapi? Je hao sektabinafsi uko jijini kwetu au jijini Dar wapo wangapi ambao ni watanzania? Je wanapatikanaje na gharama ya kuwwpata na kuendelea kuwatunza ni kiasi gani na nani analipa hiyo gharama? Ukinijibu maswali haya nitakuja kukufundisha hapa hapa๐Kwa jinsi nimechukia sina haja ya kutoa salamu, moja kwa moja katika mada.
Ni kuhusu mkutano wa leo mjini Dodoma kati ya wana CCM wakongwe wakijaribu kutuvisha vijana koti la ujamaa kwa nguvu. Ni kuwa suala hili haliwezekani tena, huyu mzee anaeshupalia ujamaa inapaswa atuambie kwa namna gani serikali inaweza kutupeleka mbali kupitia ujamaa wa akina Mzee Nyerere na wenzie.
Babu Butiku anajenga Hoja ya kutupotosha na kutufanya vijana kuwa hatujui hasara za ujamaa. Labda mzee atuambe kuwa anataka ujamaa wa kizazi kipya lakini si ule wa mzee Nyerere. Kwa hakika uchumi hauendeshwi na serikali badala yake huendeshwa na watu binafsi huku serikali ikiwa na macho makali kwa ajili ya kuweka sawa mizani flaniflani ya kiuchumi.
Katika nadharia za kijamii yaani sayansi ya jamii ni kuwa Taifa hili haliwezi tena kuwa na ujamaa, hii inatokana na mambo mengi mosi, mfumo wa elimu haujaandaa watu haswa wanafunzi kuja kuwa wajamaa, pili, dunia ya leo imejaa vitu ambavyo kwa hakika kila mtu angetamani apate.
Hebu nikuulize Mzee Butiku, Mtoto wako Peter yuko wapi na anafanya nini? Je ni Mjamaa wa maneno au porojo? Je umewahi kupunguza zile billion 19 zako ambazo umehifadhi benki kwa kusaidia watz wenzio? Mbona unakuwa mnafiki mzee, kwanini lakini?.
Mwisho; Mzee Butiku usidanganye vijana,unachotakiwa kufanya ni kusema tufanye kazi na kuhamasisha serikali iweke mazingira safi, usiturudishe katika wimbi la umasikini, mzee Butiku unadanganya. Huu ni msimamo wangu na si Uvccm.
Ahsanteni.
Kwani ubepari wa miaka hiyo ndio huu wa leo?Socialism-Imperialism,labda ingefaa lakini si kushupalia ujamaa wa Nyerere miaka hii.
Wapi utafanikiwa kwa fitina hizi za Ubapari?Wapi ambapo ujamaa uliwahi kufanikiwa katika hii dunia?
Wapi utafanikiwa kwa fitina hizi za Ubapari?
yo wewe unaamini sekta binafsi sharti wawepo watz wengi ndio uridhike?Kijana unapojenga hoja kuwa uchumi wa nchi uachiwe sekta binafsi unatakiwa ujiulize swali moja la msingi ni akina nani hao? Je nchini yetu Tanzania inao wangapi? Je hao sektabinafsi uko jijini kwetu au jijini Dar wapo wangapi ambao ni watanzania? Je wanapatikanaje na gharama ya kuwwpata na kuendelea kuwatunza ni kiasi gani na nani analipa hiyo gharama? Ukinijibu maswali haya nitakuja kukufundisha hapa hapa๐
tuonesheni sasa huo ujamaa utakavyokidhi muktadha wa sasa kama ubepari unavyofanya.Kwani ubepari wa miaka hiyo ndio huu wa leo?
Kila kitu kinabadilika
Ni upotevu wa rasilimali fedha na bando kuendelea kujibishana na vijana wa namna yako,!Kwahiv
yo wewe unaamini sekta binafsi sharti wawepo watz wengi ndio uridhike?
tuonesheni sasa huo ujamaa utakavyokidhi muktadha wa sasa kama ubepari unavyofanya.
Foreign investors usually follow guidance, interests and rules of their mother countriesKwahiv
yo wewe unaamini sekta binafsi sharti wawepo watz wengi ndio uridhike?
tuonesheni sasa huo ujamaa utakavyokidhi muktadha wa sasa kama ubepari unavyofanya.
Ni upotevu wa rasilimali fedha na bando kuendelea kujibishana na vijana wa namna yako,!