Kuhusu uhakiki wa cheti Cha kuzaliwa kwa ajili ya mkopo

Claud01

Member
Sep 28, 2021
72
71
Habari wakuu naomba muongozo kwa hili swala la kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa je baada ya kuongwa muhuri Rita ni lazima kukipeleka mahakamani pia kiwekwe muhuri? Pili inakuaje mtu aliyethibitisha cheti Rita apate ujumbe kwenye account yake kua cheti hakijawa certified?
 
Muhuri gani kwanz tuanzie apo
 
mahakamani ni lazima au wakili anayetambulika ipate mhuri wa hakimu au wakili.Ila kwa hakimu ni bure japo kachai utatoa kwa wakili analipa kodi atakutoza kiasi fulani labda kama ni ndugu yako
 
Asante Kaka nashukuru
 
Habari wakuu naomba muongozo kwa hili swala la kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa je baada ya kuongwa muhuri Rita ni lazima kukipeleka mahakamani pia kiwekwe muhuri? Pili inakuaje mtu aliyethibitisha cheti Rita apate ujumbe kwenye account yake kua cheti hakijawa certified?
Mwenye mamlaka ya kudhibitisha vyeti vya kuzaliwa na vifo ni RITA tu.
 
Back
Top Bottom