plock
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 425
- 425
Mwalimu mwenye sifa ya ualimu wa shule ya msingi yaani Grade A anaweza kuendelea na diploma ya ualimu na ni chuo gani kina uwezo wa kutoa diploma kwa mwalimu aliye kazini anayetaka kujiendeleza hiyo huduma ilikuwepo mwanzoni ikiwa inaitwa diploma in education for special program lakini kwasasa siisikii je kuna mwenye uelewa kama bado inaendelea kutolewa au imesitishwa