Kuhusu trending on YouTube

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,906
6,909
Wana boda salaam.

Naombenj shule kidogo ya kuhusu YouTube tranding.

Diamond aliachia wimbo wake siku moja kabla Kiba hajaachia ngoma yake.

Wakati diamond ana views 3m ndani ya siku tatu na masaa mengi, Kiba ana views 3.2m ndani ya siku mbili, karibu ziwe tatu.

Swali langu ni kwa nini Kiba awe no 2 kwa diamond wakati diamond kaachwa pamoja na kuwa hewani kwa muda mrefu?
View attachment 1877360
 
Ok, Kwa uelewa wangu mdogo hiyo situation inatokea, maana hiyo trending unayoiona hapo maana yake Kwa muda huo hiyo nyimbo Tanzania ndio inatazamwa zaidi Ila kumbuka kuna trending za nchi zingine pia

Unaweka Kuta wimbo upo trending namba 1 Tanzania Ila upo trending namba 5 Kenya,10 Kongo,7 Rwanda nk, na hii issue ishatokea Kwa hao hao wasanii wawili, kuna nyimbo ya Diamond ilikuwa trending namba 2 Tanzania Ila ndo ikawa inaongezeka viewers kuliko iliyopo trending namba 1

Kwahiyo Kwa case hiyo maana yake ni kwamba nyimbo ya Diamond inaongoza Kwa kutazamwa Tanzani ndomana iko namba 1 ikifaitiwa na ya Kiba ambayo ipo namba 2 ila Kwa nchi zingine na hasa za jirani Nyimbo ya Alikiba ndio inatazamwa zaidi na huko ndipo anapopata hao viewers wengine
 
Uko sahihi Mkuu
 
Shukran sana.
 
Ali Kiba anamkimbiza vibaya sana. Diamond 4days views 3.2
Ali Kiba 3 days views 3.6

Yaani kamzidi 400k views ndani ya mda mfupi.

Vijana wanatengeneza pesa tu.

Ally Kiba kukosa promo kulimrudisha nyuma sana. Lkn angekuwa mbali sana. Diamond kinachombeba ni uwezo wa kujitambulisha na kutafta kukubalika mataifa mbalimbali nje ya Tanzania
IMG_20210803_083835_803.jpg
 
Ali Kiba anamkimbiza vibaya sana. Diamond 4days views 3.2
Ali Kiba 3 days views 3.6

Yaani kamzidi 400k views ndani ya mda mfupi.

Vijana wanatengeneza pesa tu.

Ally Kiba kukosa promo kulimrudisha nyuma sana. Lkn angekuwa mbali sana. Diamond kinachombeba ni uwezo wa kujitambulisha na kutafta kukubalika mataifa mbalimbali nje ya TanzaniaView attachment 1878154
Ndio hivo mkuu, Hapa Tanzania kuna taasisi 4 tu private ambazo zina uhakika wa mtaji wa watu nazo ni Yanga na Simba ata sianzishwe club za kisasa kiasi gani kamwe haziwezi kuwa kama hizi club 2, Azam atafanya kila kitu ambacho kinatakiwa kufanywa na club kubwa na ya kisasa ila itafeli kwenye nguvu ya watu

Na kuna Diamond na Alikiba ata waje wasanii wa namna gani hakuna ambae atakuja akawa na nguvu kubwa kuliko hawa wawili, tofauti ni kwamba Alikiba hajafanya music kuwa kila kitu kwake na Diamond kafanya music ndio kila kitu kwakwe hivo anawekeza parefu ili avune parefu laiti kama Alikiba nae angeamua km ilivo Kwa Diamond basi wote wangekuwa mbali sana maana Wana mtaji wa watu
 
Ok, Kwa uelewa wangu mdogo hiyo situation inatokea, maana hiyo trending unayoiona hapo maana yake Kwa muda huo hiyo nyimbo Tanzania ndio inatazamwa zaidi Ila kumbuka kuna trending za nchi zingine pia

Unaweka Kuta wimbo upo trending namba 1 Tanzania Ila upo trending namba 5 Kenya,10 Kongo,7 Rwanda nk, na hii issue ishatokea Kwa hao hao wasanii wawili, kuna nyimbo ya Diamond ilikuwa trending namba 2 Tanzania Ila ndo ikawa inaongezeka viewers kuliko iliyopo trending namba 1

Kwahiyo Kwa case hiyo maana yake ni kwamba nyimbo ya Diamond inaongoza Kwa kutazamwa Tanzani ndomana iko namba 1 ikifaitiwa na ya Kiba ambayo ipo namba 2 ila Kwa nchi zingine na hasa za jirani Nyimbo ya Alikiba ndio inatazamwa zaidi na huko ndipo anapopata hao viewers wengine
Pamoja na maelezo yako mazuri, nahisi hii si sawa. Naamini na Diamond mwenyewe anaogopa kuona hii kasi. Amezidiwa views 600k na hadi kuche itakuwa views milion kabisa. Lkn bado King anasoma no 2.

Kwa nini?
Screenshot_20210804-011412.jpg
 
Pamoja na maelezo yako mazuri, nahisi hii si sawa. Naamini na Diamond mwenyewe anaogopa kuona hii kasi. Amezidiwa views 600k na hadi kuche itakuwa views milion kabisa. Lkn bado King anasoma no 2.

Kwa nini?View attachment 1879208
Sasa kama nishatoa maelezo na bado unaniuliza Kwanini? Nadhani ni muda namie wa kukuuliza wewe, unahisi Kwa nini inawezekana Una majibu yako mengine, hebu tujuze nasie mkuu
 
Ndio hivo mkuu, Hapa Tanzania kuna taasisi 4 tu private ambazo zina uhakika wa mtaji wa watu nazo ni Yanga na Simba ata sianzishwe club za kisasa kiasi gani kamwe haziwezi kuwa kama hizi club 2, Azam atafanya kila kitu ambacho kinatakiwa kufanywa na club kubwa na ya kisasa ila itafeli kwenye nguvu ya watu

Na kuna Diamond na Alikiba ata waje wasanii wa namna gani hakuna ambae atakuja akawa na nguvu kubwa kuliko hawa wawili, tofauti ni kwamba Alikiba hajafanya music kuwa kila kitu kwake na Diamond kafanya music ndio kila kitu kwakwe hivo anawekeza parefu ili avune parefu laiti kama Alikiba nae angeamua km ilivo Kwa Diamond basi wote wangekuwa mbali sana maana Wana mtaji wa watu
Sahihi kabisa. Lkn naona naye kaamka. Trending ya wimbo wake inaenda sambamba na kutunisha akaunti yake ya YouTube. Ndani ya siku nne kaongeza wafuasi zaidi ya laki tano
 
Sasa kama nishatoa maelezo na bado unaniuliza Kwanini? Nadhani ni muda namie wa kukuuliza wewe, unahisi Kwa nini inawezekana Una majibu yako mengine, hebu tujuze nasie mkuu
Kumzidi mtu zaidi ya nusu milion, halafu anaendelea kuwa juu yako maana yake kuna kitu kimejificha. Kama kigezo ni kuangaliwa sana, kiba kamzidi kwa nini kwenye matokeo awe chini?

Diamond kaanza na vijembe kuwa Kiba ananunua views, tayari anatetemeka
 
Yani hujiulizi kuna nini Leo hii Hadi Diamond na dharau zake anahofia kuwa Kiba ananunua views? Naomba nikujibu Diamond anaijua nguvu ya Alikiba vizuri Sana Ila pia yeye anajua kuyatumia madhaifu ya Alikiba Kwa miaka nenda Rudi Ila kama nilivotoka kusema juu kuwa hawa jamaa Wana mtaji wa watu Ila lifestyle zao ndio zinafanya Kiba aendelee kuwa Kiba na Diamond ataendelea kuwa diamond Platnumz

kuna wakati inatokea Mambo yanabuma hiyo ipo kwenye kila kitu ndo kilichomtokea Diamond Kwa hivi sasa, kuna wimbo mwingine ambao kauweka kwenye Chanel yake ya YouTube ambao ni audio kashirikishwa na masterclaft Leo ni siku ya 3 Ila Una viewers laki 3 napo hujiulizi imekuaje account yenye subscribers 5ml wimbo unakaa siku 3 Una laki 3? So shit happens bro

ila anataka kuwaaminisha mashabiki wake kuwa Kiba ananunua views Jambo ambalo halina mashiko, na kitu kingine we kama kweli mfatiliaji wa issue za kununua views basi ulijionea kwenye nyimbo ya kondeboy, wimbo ulikosa flow ya kutuaminisha kuwa hanunui viewers ilikuwa ndani ya dkk 30 unaona viewers laki 7 wameongezeka Ila Kwa kiba flow yake mbona inaeleweka unless kama utafata mihemko ya kishabiki

Trust me katika wasanii ambao waga hawajali issue za views basi Alikiba namba 1, jamaa pamoja na kujua ana nguvu ya watu ila ashagaridhika na Aina ya maisha aliyonayo so hafanyi kushindana ata siku moja, but Kwa Diamond everything kwake ni ushindani, atashindana ata na akina Marioo ilmradi Tu ajiridhishe he's on top of everyone

Na kuweka records Sawa Sawa kabla haya Mambo ya record za views wengi ndani ya muda mfupi hayajatanda Moto Sana, msanii wa Kwanza kupata views 1ml ndani ya masaa 24 Alikuwa Alikiba na wimbo wake wa seduce, ambapo akafanya Diamond akatoa Ile collabo ya WCB yote siikumbuki jina wakiwa wameact km wazee wa zamani ili kuuzima ule Moto Ila ikashindikana na baada ya hapo ndio Diamond swala la viewers kwake likawa ushindani rasmi na anaweka record na kuzivunja mwenyewe
 
Sahihi kabisa. Lkn naona naye kaamka. Trending ya wimbo wake inaenda sambamba na kutunisha akaunti yake ya YouTube. Ndani ya siku nne kaongeza wafuasi zaidi ya laki tano
Alikiba anajiangusha mwenyewe, kupata subscribers wengi inatakiwa uwe unaweka content nyingi ndani ya muda mfupi so kila mtu anatamani awe miongoni mwa watu wa kwanza kupata huduma yako, sasa ye video anatoa kila baada ya mwaka unadhani nani atajiunga?

Insta unapost kila baada ya week 2 sasa mtu akufollow ili aone nini? Ila tangu aachie back to back ya nyimbo 3 kila sehemu ameongeza wafuasi, kuanzia boomplay Hadi audiomack

Hapo ndipo Diamond anapomzidia jamaa, diamond atapost Yuko Airport, behind the scenes,Yuko studio, anafanya rehearsal so hivi ni vitu ambavyo kiba Alikuwa hafanyi, ndo ameanza hapa juzi juzi ndomana kwenye kila account yake walahu ameboost wafatiliaji
 
Kwa kasi ya views za Kiba, ni wazi ndani ya siku 14 zijazo, kiba atakuwa amedouble views kwa zile za Diamond. Hapo mwamba anatetema.

Kwa sasa kamzidi kwa 1.5m, ila cha kushangaza bado yuko no 2
Screenshot_20210806-064605.jpg
 
Yani hujiulizi kuna nini Leo hii Hadi Diamond na dharau zake anahofia kuwa Kiba ananunua views? Naomba nikujibu Diamond anaijua nguvu ya Alikiba vizuri Sana Ila pia yeye anajua kuyatumia madhaifu ya Alikiba Kwa miaka nenda Rudi Ila kama nilivotoka kusema juu kuwa hawa jamaa Wana mtaji wa watu Ila lifestyle zao ndio zinafanya Kiba aendelee kuwa Kiba na Diamond ataendelea kuwa diamond Platnumz

kuna wakati inatokea Mambo yanabuma hiyo ipo kwenye kila kitu ndo kilichomtokea Diamond Kwa hivi sasa, kuna wimbo mwingine ambao kauweka kwenye Chanel yake ya YouTube ambao ni audio kashirikishwa na masterclaft Leo ni siku ya 3 Ila Una viewers laki 3 napo hujiulizi imekuaje account yenye subscribers 5ml wimbo unakaa siku 3 Una laki 3? So shit happens bro

ila anataka kuwaaminisha mashabiki wake kuwa Kiba ananunua views Jambo ambalo halina mashiko, na kitu kingine we kama kweli mfatiliaji wa issue za kununua views basi ulijionea kwenye nyimbo ya kondeboy, wimbo ulikosa flow ya kutuaminisha kuwa hanunui viewers ilikuwa ndani ya dkk 30 unaona viewers laki 7 wameongezeka Ila Kwa kiba flow yake mbona inaeleweka unless kama utafata mihemko ya kishabiki

Trust me katika wasanii ambao waga hawajali issue za views basi Alikiba namba 1, jamaa pamoja na kujua ana nguvu ya watu ila ashagaridhika na Aina ya maisha aliyonayo so hafanyi kushindana ata siku moja, but Kwa Diamond everything kwake ni ushindani, atashindana ata na akina Marioo ilmradi Tu ajiridhishe he's on top of everyone

Na kuweka records Sawa Sawa kabla haya Mambo ya record za views wengi ndani ya muda mfupi hayajatanda Moto Sana, msanii wa Kwanza kupata views 1ml ndani ya masaa 24 Alikuwa Alikiba na wimbo wake wa seduce, ambapo akafanya Diamond akatoa Ile collabo ya WCB yote siikumbuki jina wakiwa wameact km wazee wa zamani ili kuuzima ule Moto Ila ikashindikana na baada ya hapo ndio Diamond swala la viewers kwake likawa ushindani rasmi na anaweka record na kuzivunja mwenyewe
Kwa hizi ngoma zao atasalenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom