Fahamu zaidi kuhusu gari aina ya Toyota Kluger V

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
1595849001342.png

Toyota Kluger V

Baadhi ya maswali yaliyoulizwa na Wadau
Wapendwa naomba mwenye ufahamu wa hili Gari anisaidie kulijua.
Ulaji wa Mafuta
Uimara wake.
Friendship na Mwendeshaji.
Spare.
---
Msaada tafadhal kwa mtu mwenye ufahamu wa kutosha kuhusu gari tajwa hapo juu. Tofauti yake nini hizo gari, pia ungenisaidia na mapungufu na ubora wake Kwa ujumla kwa gari izo zote mbili. Au chochote unachoona kinafaa kuongezea ufahamu kuhusu gari izo

Natanguliza shukrani.
============



Maoni yaliyotolewa na Wadau wa JF
Ni gari nzuri sana, spare zipo ila bei imechangamka kidogo, ni a bit stable barabarani ukilinganisha ba harrier, japo ukipata ile ndogo yenye 2AZ, engine ambayo ipo kwenye harrier, kliger, vangard na rav 4 ( hapa nazungumzia SUV tu) utaenjoy zaidi.

Mm ninayo 2005 model, 7 seater, kitu ambacho hakiko kwenye harrier na rav 4, van guard inayo lakini siti 2 sio za maana sana.

Kama ni kwa mjini, barabara za lami na rough road kidogo nunua front wheel, ila kama una off road nyingi go 4 4WD, na kluger nyingi ni AWD. 4wd inakula mafuta around, kwenye high way, 9kpl wakati front wheel ni 11kpl

Sent using Jamii Forums mobile app
---
The TOYOTA KLUGER (KLUGER V) was developed based on the TOYOTA HARRIER and released in November 2000 as a new model SUV. Though they shared the same chassis, in contrast to the HARRIER with its urban design and strong city-use style, the KLUGER boasted a strong exterior design well fit for a SUV. Moreover, the length and height of the car body were expanded in comparison to those of the HARRIER, thus achieving greater interior space and improved riding comfort.

For the interior, genuine leather seats were included as an option. In the luxury G package vehicles, a light color scheme was utilized for the upholstery to heighten an air of quality and luxury. Furthermore, the S package, which boasted a sporty design, took up a dark color scheme, allowing for the two different lines to have different character; as such, the KLUGER appealed to a wide variety of needs and preferences.

As for the equipment, the self-luminous meter was installed in all vehicles. Moreover, vehicles with electro multi-vision were compatible with VICS, allowing users to confirm traffic conditions on-screen.

Efforts were made to secure various storage space throughout the interior. One feature was the installment of a DC12V accessory power socket next to the trunk space.

The engine lineup consisted of the V-type 2,994cc six-cylinder gasoline engine with 220 horsepower and the 2,362c inline four-cylinder gasoline engine with 160 horsepower.

The transmission that could be combined was the 4-speed automatic only.

Grade development at the time included the two engines and an option of FF or 4WD; in addition, users could choose from the G package or the S package, making for a total of 8 variations in the lineup.

The riding capacity was 5 people in 2 rows of seats.

In 2003, the first round of minor changes was implemented. The exterior design, particularly in the front area, was changed. In terms of the interior, black upholstery was newly introduced. Furthermore, the “KLUGER L” meant for sale at the Corolla store was added.

At this time, a third row of storable seats was installed, and when in use, this allowed for an improved riding capacity of seven people.

As for the minor changes made in 2005, the discharge headlamp was added to some grades. Furthermore, the KLUGER V was discontinued and consolidated to the KLUGER L.
---
Kwa nijuavyo Harrier na Kluger:

Ni kitu kimoja, ukiwa na Kluger, jua kwamba ni sawa na una Harrier tu maana ni gari ile ile tu, ila wameitofautisha kwenye muundo wa nje tu pamoja na majina basi!

Lakini kila kitu ni kile kile yaani. Kuanzia engine capacity & machenically etc

So, ni wewe tu uchague ni aina ya muundo unaouopenda. (I mean, muundo wa Harrier au Kluger)

By the way, okoa fedha nyingi kwa kununua gari yoyote unayohitaji kupitia ecarstanzania
Sisi ni waingizaji wa magari bora na kwa gharama nafuu kabisa.

Tupo Kinondoni, Ada Estate.

Email : ecarstanzania@gmail.com

Karibu
---
Hongera kwa hatua uliyoifikia ya kununua gari. To clarify; binafsi sijawahi kumiliki haya magari, usiscroll down kwanza! Nisikilize, but nina experience na Kluger na nitakupa mtazamo wangu wa Toyota Harrier.

My cousin anatumia Toyota Kluger V, nilishaiendesha mara kibao tu, since yeye hata hawezi kuendesha ana dereva wake, so most of the time unalikuta home tu. And this is my review:

Toyota Kluger ni gari zuri, heshima mjini. Ndani lina nafasi kubwa, ukipata yenye sunroof utaenjoy maana zinakuwaga na bonge la sunroof. Speakers are loud enough, seats are high enough kukupa high visibility ya barabara. Though sidhani kama interior italingana na Harrier.

Mafuta linakula vizuri, 1l/10km, ila naona umesema mafuta sio issue. Acceleration is fine for a huge vehicle, mimi sio mtu wa speed so siwezi zungumzia kuhusu hilo. But lina hundle vizuri barabara zetu za Boko. Though at some point nahisi lipo chini sana, maybe its just me.

Nina doubt sana 4WD yake though kwa hapa Dar haitakuzingua unless wewe ni engineer wa REA. So expect it to take you anywhere. Barabarani linatulia mpaka raha. Vidimbwi havisikiki, wewe ni kunesanesa tu. At night, taa zake nazipa salute, stock lights. Overall handling yake imetrump Rav4 na Suzuki Escudo. Its an SUV that handles like a Sedan.

Conclusion:
Like I said Harrier sijawahi kuliendesha wala kulipanda. Zaidi nalionaga kwa majirani na barabarani, but I can tell you, kama wewe ni bishoo chukua tu Harrier, lile gari lina turn heads. Kwa looks Kluger haliiwezi Harrier. Kluger lina sura ngumu kama limao, Harrier limekaa kama Qatar Airways. Also, Harrier linaonekana liko juu in terms of ground clearance, so I think lita handle vizuri zaidi Barabara za vumbi.

Just to remind you unacompare Harrier latest kidogo na Kluger la zamani, so obviously Harrier litali trumplify Kluger. Mtazamo wangu kama hela sio ya mawazo chukua Harrier uongeze Instagram likes, ila kama unataka hizo extra 2-4m uweke heshima bar chukua Kluger.

Hope I answered your question. Enjoy your new car.

-callmeGhost
---
Kluger so far ni njema zaidi ya nilivyodhania. Ninatumia Toyota Kluger 2001model ina VVTi Engine 2.4ltr ni 4WD. Imetembea 135k na reg No ni CWV.

Kwa nilivyojionea Offroad unapita na kutoka salama hata sehemu ambayo hukutarajia. Ni luxury kiasi cha kutosha na kwa safari ya mbali ni even better kwa kuwa VVTi engine ina minimize ulaji wa mafuta kiasi cha kutosha kabisa.

Kwa mjini na hz foleni inakula wastani wa 6.7-7km/litre kwa safari 9.2-10.4km/litre zote hz nime observe nikiwa natumia na AC fulltime!
But pia ulaji inategemea na driving terrain na driving style yako. Hata km mtu akiitaka hii yangu trust me the last price will be 30mil.
Ni gari nzr depending na matumizi yako.



PIA SOMA
= > Naomba ushauri: Kati ya Kluger V na Harrier ni gari ipi ni nzuri zaidi?
 
Poleni na maswaibu ya viongo vya binadamu.Mkiona hivyo tambuweni kuwa mwisho wa dunia umekaribia.
Wapendwa naomba mwenye ufahamu wa hili Gari anisaidie kulijua.
Ulaji wa Mafuta
Uimara wake.
Friendship na Mwendeshaji.
Spare.

my wife wangu ananisumbua sana tununue gari hii hopefully through this thread ntapata ushauri
 
Kama mnataka hiyo gari semeni. Bei mil 25. Mwaka 2001 na ina km 100k . Bado haijaendeshwa bongo ina week moja toka ifike.


The king.
 
Hiyo kitu ni moja ya magari ambayo net cashflow ya uhakika inahitajika,binafsi sikupingi mkuu manake cjui economic potential yako, ila wake zetu sometimes inabidi ku asses ushauri wao sababu ishu si initial outlay ya kulinunua swala ni maintanance na fuel kwenye traffic jams zinazotegemea hisani ya matrafiki.
 
Iko poa kwa kila kitu statizo iko chini sana hyo gari,kwa haya matuta yetu uku bongo utang'ata sana meno..
 
Hiyo kitu ni moja ya magari ambayo net cashflow ya uhakika inahitajika,binafsi sikupingi mkuu manake cjui economic potential yako, ila wake zetu sometimes inabidi ku asses ushauri wao sababu ishu si initial outlay ya kulinunua swala ni maintanance na fuel kwenye traffic jams zinazotegemea hisani ya matrafiki.

Mkuu ebu nishauri basi kwenye hii items.
Ulaji wa Mafuta
Uimara wake.
Friendship na Mwendeshaji.
Spare.
 
ImageUploadedByJamiiForums1406021081.940079.jpg


Maelezo yako mengi sana google pamoja na reviews. Nachoweza kusema ni gari moja nzuri sana na ya wakati.


The king.
 
Nunueni IST 1500cc kama huwa unasafiri mikoani. Otherwise, kama unapenda misifa hapa mujini, go for that other car! Naamini kwa maisha yetu haya ya kawaida haya ya kijasiriamali na ufanyajikazi maofisini, magari ya <2,000 cc yanafaa sana.
 
Mkuu ebu nishauri basi kwenye hii items.
Ulaji wa Mafuta
Uimara wake.
Friendship na Mwendeshaji.
Spare.

Kama unaogopa kununua toyota basi hutakaa kuendesha gari yeyote. Hizo gari ni mpay toleo jipya na hazina tatizo lolote. Ulaji wake wa mafuta sio kam v6 nyingi zilizoko kitaa. Unataka sema upate faster gari yako.


The king.
 
ahahahahahaaaa...mie sijui sana kuhusu magari but kuna jamaa yangu alinunua hiyo gari...kufika kwao moshi milimani na barabara mbovu kitu haina fourwheel..akaishia kuilaza ccm ya moshi.

kifupi ni kuwa pamoja na ukubwa na uzuri wake nyingi hazina fwd ...utata kwenye njia mbovu. kula mafuta mnhhhh...inategemea na injini ya ukubwa gani pia technology nyingi za kisasa zinapunguza sana tatizo hilo....ukitaka isile mafuta inabidi uwaambie japan watengeneze gari zinazokula chipsi mayai au zile mchemsho wa kuku au hata supu ya ulimi...

kula mafuta kwa gari hilo haliepukiki kama ccm kungooka madarakani iwapo katiba ya warioba itapita.

NI HAYOOOOOOOOOO TU.
 
Hilo gari ulilolisema ni nzuri kwa mtu wa kati.namaanisha wenye uwezo wa kati.unachotakiwa kujua yapo ya aina kama mbili hivi.yapo yenye kutumia engine kubwa na yapo yenye engine ndogo.engine kubwa ina cc3000 hivi ma ndogo cc2360.

Sasa ujue siku zote engine kubwa na ulaji wa mafuta unakua mkubwa zaidi.ila kiukweli hayo magari ni mazuri kwa mazingira ya kitanzania.ukipenda za 4wd zipo na za kawaida zipo.
 
ahahahahahaaaa...mie sijui sana kuhusu magari but kuna jamaa yangu alinunua hiyo gari...kufika kwao moshi milimani na barabara mbovu kitu haina fourwheel..akaishia kuilaza ccm ya moshi.

kifupi ni kuwa pamoja na ukubwa na uzuri wake nyingi hazina fwd ...utata kwenye njia mbovu. kula mafuta mnhhhh...inategemea na injini ya ukubwa gani pia technology nyingi za kisasa zinapunguza sana tatizo hilo....ukitaka isile mafuta inabidi uwaambie japan watengeneze gari zinazokula chipsi mayai au zile mchemsho wa kuku au hata supu ya ulimi...

kula mafuta kwa gari hilo haliepukiki kama ccm kungooka madarakani iwapo katiba ya warioba itapita.

NI HAYOOOOOOOOOO TU.

Common sense is not common..!
 
Kluger na Highlander ni gari moja, linakuja in 2 wheel au 4wd, seat 5 au 7. Fuel consumption ya kama 20mpg hii ni kama nusu ya gari ndogo kama Toyota IST ambayo ina 44mpg. Imetengenezwa zaidi kuwa comfortable barabarani kufananisha na gari kama 4Runner ambayo iko less comfortable barabarani ila ina uwezo zaidi off road.
 
Kluger so far ni njema zaidi ya nilivyodhania. Ninatumia Toyota Kluger 2001model ina VVTi Engine 2.4ltr ni 4WD. Imetembea 135k na reg No ni CWV.

Kwa nilivyojionea Offroad unapita na kutoka salama hata sehemu ambayo hukutarajia. Ni luxury kiasi cha kutosha na kwa safari ya mbali ni even better kwa kuwa VVTi engine ina minimize ulaji wa mafuta kiasi cha kutosha kabisa.

Kwa mjini na hz foleni inakula wastani wa 6.7-7km/litre kwa safari 9.2-10.4km/litre zote hz nime observe nikiwa natumia na AC fulltime!
But pia ulaji inategemea na driving terrain na driving style yako. Hata km mtu akiitaka hii yangu trust me the last price will be 30mil.
Ni gari nzr depending na matumizi yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom