Kuhusu Tatizo la Uchafu Dar, Madrassatul Abraar tuna wazo litakalokuwa suluhu ya kudumu

Tunasubiri video tuone zoezi la utumikaji (demonstrate) likionesha.
Utumikaji utachelewa si sana kwani ndio tunaviunda, tumeshaa za kuunda kiosk na sehemu kubwa kiasi (jalala dogo) ya kuchomea taka.

Utajionea baada ya siku mbili tatu.

Upo Bagamoyo au hiyo ni id tu JF?
 
Ila sasa nina swali kuhusu hayo mapipa ya uchafu kama yanafaa kwa matumizi ya nyumbani na kuchomea uchafu ukikaribia kujaa?
Tutaweza sana tu utumia nyumbani. Mimi binafsi nimeanza leo kusetiwa alangu na kina mama wa darasa letu la ujenzi.

Langu ni kubwa kidogo (3 meters diameter) kwa kuwa nipo bje ya mji huku nafasi ni kubwa.

Ngoja nikaone wamefikia wapi, nitarusha picha.
 
Utumikaji utachelewa si sana kwani ndio tunaviunda, tumeshaa za kuunda kiosk na sehemu kubwa kiasi (jalala dogo) ya kuchomea taka.

Utajionea baada ya siku mbili tatu.

Upo Bagamoyo au hiyo ni id tu JF?
Video clips inakuwa ngumu kupandisha hapa. Tutumie whatsapp 0625249605 utakutumia video clips .
 
weka page yako ya insta tuone hizo picha
Tunatafuta kijana wa data entry ambae pia tutampa jukumu la ku update mitandao ya kijamii.

Tukipata kijana mwenye kujituma na mbunifu tunaweza tukaanzisha jarida la shughuli zetu. Ambae yupo interested aawasiliane nasi 0625249605.
 
Hii mada kuna mtu humu anajibu kwa jazba utadhani ana share ya project husika.

Mtoa mada ameshatoa tahariri yake, hivyo tunasubiri akipandisha picha/video.
Usijali sana, ndivyo mitandao ya kijamii ilivyo. Wewe cha kutazama au kutaka kujua zaidi ni kile una interest nacho, ukianza kubishana hakutakuwa na mshindi, maneno hayaishi.

Hapa Abraar tumelenga kuwa na vitendo zaidi ya maneno, hata mtaa wetu unaitwa Vitendo.

Karibuni sana mjionee ubunifu wetu na pia nakaribisha maswali yanayohusiana na fani ya ujenzi wa kisasa. Ujenzi wenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu. Usiatazame wengine humu wanajibu nini, mimi ndie muhusika wa ubunifu huu uuonao hapa,waundaji wa vifaa ni kina mama na vijana wanao/waliojifundisha hapa hapa Madrassatul Abraar.

Karibuni sana.
 
Tupo mtaa wa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Kibaha.

Kama uanakuja kutoka Dar unapanda gari za kwenda Mlandizi, unashuka kituo cha Miyomboni shule. Hapo
unachukua bodaboda unamwanbia akulete kwa Mzee Ghafur. Namba za simu 0625249605
 
Ikiwa unapenda kuona picha au unataka maelezo zaidi tutumie whatsAPP 0625249605 Tutakutumia, tunazo picha na video clips. Tunaona bora ututumie whatsapp kwa kuwa atuingii kwenye mitandao ya kijamii mara kwa mara lakini saa zote tutaziona msg zako ukitujulisha kwenye whatsapp.

Ahsante sana.
Abdul
 
Safi sana kijana. Hii naipeleka kwa mkuu wa mkoa moja kwa moja. Ila mbona hamjaweka contacts zenu. Na je mna business profile.
?
 
Hujakosea, mimi ni kijana wa zamani, Ni Mzee sasa hivi lakini sijastaafu. AlhamduliLlah. Ngoja nitazame post namba moja kama hakuna contacts niziweke.

Kuhusu business profile ndio tumewapa kazi vijana wanatuundia website. In Shaa Allah itakuwepo soon.

Tupo mtaa wa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Kibaha.

Kama uanakuja kutoka Dar unapanda gari za kwenda Mlandizi, unashuka kituo cha Miyomboni shule. Hapo
unachukua bodaboda unamwanbia akulete kwa Mzee Ghafur. Namba za simu 0625249605
 
Safi sana kijana. Hii naipeleka kwa mkuu wa mkoa moja kwa moja. Ila mbona hamjaweka contacts zenu. Na je mna business profile.
?
Soma vizuri post-namba Moja zipo contacts zetu, na hapa nakuwekea tena.

Tupo mtaa wa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Kibaha.

Kama uanakuja kutoka Dar unapanda gari za kwenda Mlandizi, unashuka kituo cha Miyomboni shule. Hapo
unachukua bodaboda unamwanbia akulete kwa Mzee Ghafur. Namba za simu 0625249605
 
Tangazo gani halina picha watu wakaona unachokiongea?
Kwa ataependa kuona picha au kutaka maelezo zaidi atutumie whatsApp 0625249605 Tutamtumia, tunazo picha na video clips.

Tunaona bora tutumie whatsapp kwa kuwa atuingii kwenye mitandao ya kijamii mara kwa mara lakini saa zote tutaziona msg tukitujulishana kwenye whatsapp.

Ahsante sana.
Abdul
 
Ikiwa unapenda kuona picha au unataka maelezo zaidi tutumie whatsAPP 0625249605 Tutakutumia, tunazo picha na video clips. Tunaona bora ututumie whatsapp kwa kuwa atuingii kwenye mitandao ya kijamii mara kwa mara lakini saa zote tutaziona msg zako ukitujulisha kwenye whatsapp.

Ahsante sana.
 
Hii mada kuna mtu humu anajibu kwa jazba utadhani ana share ya project husika.

Mtoa mada ameshatoa tahariri yake, hivyo tunasubiri akipandisha picha/video.
Of course, share tunayo hapo, kila Muislam, hujaona kuwa ni wazee wa Madrassa? Unafikiri zinajinedesha zenyewe?
 
Dadangu hii ni biashara, ukianza kuleta uislam basi itabidi mnunue wenyewe tu. Just relax biashara ifanyike bila udini.

Pia wanajiuliza picha ulikuwa unawajibu kwa jazba sana lakini mleta mada ameonyesha ukomavu kidogo hiyo ndivyo biashara hufanyika, ukianza kuweka personal feelings kidogo inaleta shida.

Biashara ni nzuri usiiharibu wacha tuangalie hiyo teknolojia then tufanye biashara nao, yawezekana kwako Ina personal attachment Ila wengine tunakuwa tumependa tu hiyo teknolojia na hatuweki udini Wala anything else.
 
Shida yk ndiyo hiyo
Hii kitu angeileta Joseph
Kuna mtu asingeipigia promo
Angepita kimya kimya

Ova
 
Back
Top Bottom