Kuhusu sherehe za Muungano, mbona Magufuli ndio katoa hotuba peke yake na Shein hakufanya hivyo?

Nashauri sherehe/ sijui maadhimisho ya muungano yawe yanafanyika kitaifa kwa mzunguko kila mkoa mwaka huu ilikua dom next year 2018 katavi, 2019 kilimanjaro n.k......... kusudi ni kufaidi kila mkoa hayo matofali yanavyovunjwa

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Jamani hatujui maana ya Rais wa Jamhuri ya Muunganano wa Tanzania? Hapo Shein ataingeaje? Anae taka kuvunja muungano atavunjika yy.
 
Back
Top Bottom