remosa
Senior Member
- Oct 3, 2014
- 161
- 141
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Nawasalimu All great thinkers.. (hii inahusu wale wote wanaosimamia facts na sio imani).
Nimekaa mda mrefu nkifatilia mijadala ya watu mitaani, ofisini, mitandaoni na hata maeneo yenye mikusanyiko ya watu wengi..
Na nimegundua kuwa 85% ha watz hawana uelewa kabisa juu ya sheria, kanuni, na taratibu za nchi na kibaya zaidi hata katiba hawaijui kabisa! si hivo Tu Bali pia hata hawajui kwa nn serikali ipo na kwa nini bunge lipo na kwa nini Kuna mahakama... Sana Sana wanaongea Yale waliokalili Tu.... Na hii ndo fulsa kubwa ambayo wanasiasa wanaitumia kujipatia sifa na pia kujiona wao ndo kila kitu..... Kuna mambo machache nataka niongee kama ifuatavyo;
(1) BUNGE.
Labda nianze na kwa nini bunge.
Hapo zamani before population haijawa kubwa ( zama za mawe mpaka za vyuma) jamii zilikaa either chini ya mti or kwa kiongozi na kuanza kujadili matatizo kadha WA kadha yaliokuw yanawakabili na kupanga mipango (Ni kama bajeti hivi) na kuunda sheria ili ziwaongoze jamii husika... Na mikutano hii sababu watu walikua wachache hawajazaliana Sana basi wananchi wote walishiriki mijadala...
Baadae baada ya jamii kuongezeka (population growth) ikaonekana kua SI rahisi watu milion moja au 2 wakakaa pamoja na wakasikilizana mbele ya chifu au mtawala wao ambapo hata wakisema wote wachangie mada hawataweza kumaliza..
Basi wakaona waunde bunge (kila watu waliita kwa lugha Yao) basi wanasema haya kila kabila na Kila jamii iteue mjumbe wake na hao wajumbe(wabunge) wawe ndio wanaoenda kujadili katika mikutano yote na kutoa maoni kwa niaba ya jamii iliomtuma...
Basi nae kiongozi akapewa ruksa ya kutafta washauri (kwa Leo mawaziri) ataokua anasaidiana nao.. Basi na ikawa hivo... Na mikutano yote haikuwa na usiri wowote kwani mambo yalihusu jamii husika hivo usiri haukutakiwa...
Haya Leo hii serikali haitaki mijadala ya bunge isiwe live.(nasema serikali cas great thinkers yeyote atakua ashasoma mazingira na hiyo ndo sifa kubwa ya great thinker cas huweza kugundua jambo lililojificha kwa kusoma mazingira.... How? Why? Kwa nn ikataze?? Hatujiulizi??
Mmoja akatumwa aseme ooh mda huo wa bunge live watu wanakua makazini.. Who told them that? Na je zile TV maoficn tena ya serikali kazi yake huwa Ni nini?? Na je MBNA wasikataze channel zingne kuonekana muda huo? Ni kweli kwamba Ni bunge Tu ndo linalofanya watu wasifanye kazi?? mbona raisi anafanya ziara na mikutano ambayo sometimes inaoneshwa live who is he? So mda huo watu wanakua wamefumba macho au? Na hizo kazi Ni kweli znafanyika ofisini Tu? Vipi wale wafanyabiashara ambao wapo kwenye maduka Yao mda huo? Au Ni wafanya kazi tu wa maofisini ndo ambao wanatakiw kuwa regarded?? Nina maswali mengi juu ya hili mpaka naugua..
Akatumwa tena yule yule mtu aje aseme ooh tunasave bajeti
Sasa MBNA watu walipojitolea kughalamia matangazo ya bunge mkakataa?? Why? Ni nini hicho qmbacho mnajadili huko ambacho mwananch hatakiwi kukijua?? Kama Kuna jipya mnalojadili na sio kwa manufaa ya nchi is Better mfunge bunge cas kazi ya bunge Ni moja Tu!! Kujadili maswala yanayohusu wananchi tena kwa uwazi....
jamani wananchi tuelewe kua bunge lipo kwa ajili ya wananchi.... Na ukiona kiongozi Wako anakuficha jambo ujue Kuna walakin...
USHAURI: Serikali muache kuingilia uhuru wa bunge... Na kama kweli serikali Ina Nia ya dhati kwa wananchi wake basi bunge live Na isiwe ombi Bali Ni lazima...!!
*BAADHI YA MAONI YA WANANCHI
-Kuna wanaosema ooh tunataka kazi Tu na sio kuona bunge live..
sikieni nyie mliotokwa na akili hiyo kazi Tu mtaijuaje kama hakuna uhuru wq habari? SI tuna migodi? SI tuna misitu? SI na kazi znafanyika mnaziiona? Haya bila bunge lililopita kuoneshwa live mngejuaje kuwa kwenye migodi tunapoteza pesa nyingi?? Nani angejua kuhusu escro.. Nani angejua Kuna wabunge wqna akili fupi kama lusinde? Nani angejua nk.
-Kuna wanaosema ooh wabunge wanataka wauze sura Tu.... Nyie hata sjui niwajibu nn cas nahisi hqmtaelewa cas Hamtumii akili kufkili ngja nikijua mnawaza kutumia nn labda tafanikiwa kuwashauri.
(2)NCHI YA VIWANDA
jamani serikali Ni nani aliewaambia viwanda Ni kama uyoga unaokua hata sehemu chafu?? Nchi ya viwanda nindoto na nawaambia hakika kama mwendo Ni huu huu basi hakuna viwanda vitavyojengwa....
Serikali haipo upande WA wafanya biashara wala WA wananchi.... Sjui hata ipo uoande gani cas hakuna mtu yoyote tajiri ambae ataenda kuwekeza mahala ambapo serikali sio rafiki....
Na nyie wananchi mnaobeza wanaosema serikali ya viwanda Ni ndoto jueni kua hivo viwanda anavoongerea magu Ni vya watu binafsi...
Yani Mimi Nina pesa zangu ndo nije kuwekeza.... Nakwambia hakuna mtu ambae atakuja kurisk pesa zake kwa kuanzisha viwanda vikubwa wakati sera ya nchi Tu haijakaa sawa..... Inabana watu kwenye kodi mno... Kodi Ni kubwa Sana...
Sisemi kwamba hawatakiw kulipa kodi no! Kodi sio ombi Ni lazima Bali mm naongelea kiwango cha kodi... Hata process zetu za uwekezaji jaman Ni mbaya mno... Mtaendelea kuwafurahia wachina na wahindi Kuja kuwekeza but trust me hakuna watu wezi na wababaishaji kama wachina na wahindi...
Wachina wapo hapa kwa maslahi ya nnchi Yao and not as you think!! Serikali haina budi kuandaa mazingra mazuri kwanza kwa kurekebisha sheria zote za kodi.... Tuache ubabaishaji jamani.... Raisi nae anaongea mno kuliko vitendo.... Anawapa watu hopes ambazo SI rahisi na kuaminisha umma kwamba Ni rahisi....
Viwanda Ni process jamani hata nnchi zwnye viwanda vingi iliwachukua more than 30 yrs kufika walipo.... Na viwanda tusitegemee watu watoke nnchi zao waje wawekeze kwetu jaman... Hebu serikali ifanye kuwawezesha wananchi wawez kuwekeza kwanza....
Serikali iache kukataa ushauri jamani.... I dislike a lot hii mambo ya viongozi WA serikali kutwa kukimbizana na wapinzani kwenye media mala huyu kasema hiki mala huyu kafanya vile mala tetesi mala sjui wadudu gani....
Tuache jaman tukae chin tuone Ni nini kifanyike ili after some years tuwe na viwanda nchini... Sio lazma magu atekelez Hilo jaman sio rahisi lakin anaweza kuanza sasa kuandaa mazingira kwa kuwekeza katika utalii kwa kuunda miundombnu ya kisasa ya kitalii ili kila mtalii ataekuja avutiwe na kuja kuwekeza hivi viwanda....
*BAADHI YA MAONI YA WANANCHI
-Ooh tumuache raisi kwanza hajamaliza hata mwaka.... Nasema tena mkome kuleta mambo yenu ya miaka hapa.... Who told u that mpaka mwaka uishe ndo tumkosoe? Nambieni hii miezi alokaa madarakani kafanya nn ambacho kimemgusa mwananchi WA kawaida direct?? Sana Sana mtanambia maneno ya kisiasa Tu mala ooh alisema hivi alisema vile but what we need here is Ni kwa jinsi gani hayo yatafanyika??? Hebu tuone basi hata progress ya Yale yaloanza kusemwa na kuahidiwa kitambo.....
USHAURI
Serikali sasa ikae chini ijitathmini upya... Iteni Sana uchimi iteni watu mashughuli kutoka nchi zilizoendelea basi mkae mdiscuss jinsi gani ya kuwapata wawekezaj WA hivo viwanda... Haya maswala ya media achieni diamond na wema na zari nyie hamuyawezi....
(3) RAISI MAGUFULI
Nakupenda Sana raisi wangu ila upendo wangu unapungua siku hadi siku and now umebaki 23% Tu... Na hii Ni baada ya kugundua kuwa wewe pia Ni mwanasiasa kama wanasiasa wwngine ambao sifa Yao kubwa Ni uongo, maneni mengi bila vitendo na kupenda kujitetea na kutafta huruma ya wananchi....
Vyote hivo unavyo.... Kama unavosema hapa kazi tu kaa ukijua kuwa wewe Ni mfanya kazi wetu... Tumekuajiri na Ni lazima ututumikie sisi maboss zako... Mwaswala ya kutafuta sympathy Ni unafki mkubwa cas mtu serious na mwenye Nia na msimamo huwa haitaji huruma ya mtu kwa sababu anayofanya wananchi watayaona....
Haya maswala ya kutumbua majipu sjui chunusi sio wakati wake sasa.... Huu Ni mda wa wewe kutafta namna ya kuzba mianya ya wizi wa fedha za umma na kuweka sheria kali kwa wafanyakazi (sio kuwatisha) na kutengeneza mfumo unaotenda kazi bila shuluti...
Unajua watu now sio kwamba wamebadilika Bali wanafanya kazi kwa hofu kitu ambacho sio kizuri cas hata kama Kuna jambo fulan watu hawataweza kukushauri au kusema wataacha Tu mambo yaharibike ili nawe uisome namba...
Ogopa Sana watu wanapokuw kimya wasikwambie Ni nini wanawaza cas hautaamini watachokufanyia.... Acha maneno mengi cas uongozi sio kuongea na kutisha watu au kufanya ubabe no!! Uongozi Ni kutumia hekima....
Mtu mwwnye hekima hupima upepo.... Hujua wakati na majira sahihi ya kusema jambo... Na nikeambie kitu Rais wangu... Biblia inasena ole wao wanafiki!!!!!! Nadhani maana ya unafki ipo kwenye kamusi ya kiswahili pia...
Je hekima halii?? Ufahamu kutoa sauti yake.... Hekima hekima hekima sina mengi ya kuelezea ila kwa ufikili ni wapi ambapo hukutumia hekima cas hekima Ni bora kuliko mali na ukiwa na mali ukakosa hekima Ni sawa na kujilisha upepo..
Wapata faida gani? Kwa mm naona mwenendo wa sasa wa wewe na serikali yako hauna direction maybe direction ipo but I don't see it... Tengenezeni upya njia zenu... Kama mguu wako ukikukosesha katika kufkkia malengo yako basi huna budi kuukata... Halikadharika jicho pia...
NIKIPATA MDA WA KUANDIKA TENA TAENDELEZA MAKALA HII... SIJAMALIZA BADO... NINA MENGI MENGI AMBAYO YAMENIKERA