Kuhusu sakata la Escrow A/c viongozi wa Dini wanahusikaje?

Epa Sanga

Member
Jan 29, 2014
75
95
Ndugu wana jf nimeshangaa kusikia kwamba katika sakata la Escrow A/c ktk orodha ya mgawo was fedha wamo baadhi ya viongozi was dini mimi najiuliza hawa wamehusikaje?au a/c zao zilitumika kama daraja LA kuvushia kwenda kwa vigogo Fulani!
 
Wile GAMBA

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
1,809
0

Kinacho kushangaza ninini? haukuona baadhi ya viongozi wa dini walivyo tumika vibaya kwenye BMY ...Baadhi ya viongozi wa dini wapo hapo kwa kupiga dili,na si kiimani kama unavyo dhani
 
natoka hapa

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,495
2,000
Kinacho kushangaza ninini? haukuona baadhi ya viongozi wa dini walivyo tumika vibaya kwenye BMY ...Baadhi ya viongozi wa dini wapo hapo kwa kupiga dili,na si kiimani kama unavyo dhani
Mkuu hapa mtoa mada anataka kujua connection ya hawa viongozi wa dini hadi wapewe pesa, yaani wao sio watendaji ws hizo mamlaka kama Tanesco etc sasa ni kivipi hii dili ikawahusu?
Kama unajua fact saidia watanzania
 
mwambojoke

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
924
1,000
Ndugu wana jf nimeshangaa kusikia kwamba katika sakata la Escrow A/c ktk orodha ya mgawo was fedha wamo baadhi ya viongozi was dini mimi najiuliza hawa wamehusikaje?au a/c zao zilitumika kama daraja LA kuvushia kwenda kwa vigogo Fulani!
Ulizia mmiliki wa Mkombozi Bank
 
Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,230
2,000
Ndugu wana jf nimeshangaa kusikia kwamba katika sakata la Escrow A/c ktk orodha ya mgawo was fedha wamo baadhi ya viongozi was dini mimi najiuliza hawa wamehusikaje?au a/c zao zilitumika kama daraja LA kuvushia kwenda kwa vigogo Fulani!
Wameponzwa na hulka yetu ya kuomba omba....
 
Mingoi

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
11,233
2,000
Hawa viongozi si malaika ukiondoa kushiriki dili za kifisadi kwa njia tofauti hawa jamaa ni wauza sembe wazuri.
 
MR. MORRIS T. J.

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
1,169
0
Rugemalila ni muumini wao,rugemalila kuwa na urafiki na viongozi wa dini yeye siyo wa kwanza,pia muumini kumpa pesa kiongozi wake kiasi chochote cha pesa si kosa na yeye si mtu wa kwanza kufanya hvy!! Pia rugemalila alilipwa bil miatatu ikatangazwa,watu wote wakasikia haikuwa siri, na kipindi kile malipo yale yalikuwa ni halali nao hawakujua kama ni ufisadi, sasa mtu kutoa kiasi alicholipwa na kumpa kiongozi wake wa kiroho kuna ubaya gani?kiongozi wa dini atawezaje kujua kama anachopewa ni halali au siyo halali? Mbona sadaka na mavuno hatuulizagwi kama mbuzi unayemtoa sadaka umempata kwa uhalali?
 
Fabys

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
284
225
Kwa mawazo yangu nadhani kwa kuwa mkombozi benki ilihusika kutakatisha fedha basi hawa maaskofu watakuwa ni viongozi ktk bodi ya wadhamini wa benki
 
Wile GAMBA

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
1,809
0
Rugemalila ni muumini wao,rugemalila kuwa na urafiki na viongozi wa dini yeye siyo wa kwanza,pia muumini kumpa pesa kiongozi wake kiasi chochote cha pesa si kosa na yeye si mtu wa kwanza kufanya hvy!! Pia rugemalila alilipwa bil miatatu ikatangazwa,watu wote wakasikia haikuwa siri, na kipindi kile malipo yale yalikuwa ni halali nao hawakujua kama ni ufisadi, sasa mtu kutoa kiasi alicholipwa na kumpa kiongozi wake wa kiroho kuna ubaya gani?kiongozi wa dini atawezaje kujua kama anachopewa ni halali au siyo halali? Mbona sadaka na mavuno hatuulizagwi kama mbuzi unayemtoa sadaka umempata kwa uhalali?
Mkuu sadaka hapewi kiongozi wa dini, sadaka hutolewa kanisani... kitendo cha kumpa kiongozi hiyo iko kibinafsi zaidi, na ndiyo hapo shaka huanza!
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,220
2,000
Rugemalila ni muumini wao,rugemalila kuwa na urafiki na viongozi wa dini yeye siyo wa kwanza,pia muumini kumpa pesa kiongozi wake kiasi chochote cha pesa si kosa na yeye si mtu wa kwanza kufanya hvy!! Pia rugemalila alilipwa bil miatatu ikatangazwa,watu wote wakasikia haikuwa siri, na kipindi kile malipo yale yalikuwa ni halali nao hawakujua kama ni ufisadi, sasa mtu kutoa kiasi alicholipwa na kumpa kiongozi wake wa kiroho kuna ubaya gani?kiongozi wa dini atawezaje kujua kama anachopewa ni halali au siyo halali? Mbona sadaka na mavuno hatuulizagwi kama mbuzi unayemtoa sadaka umempata kwa uhalali?
kwa hiyo alipewa kama sadaka...mbonabunataka kutufanya jf wapumbavu nabutetezi wako wa @%#&# hatutaki blah blah mimi ni mkatoliki lakini nasema kanisa watueleze na watu wawajibishwe siyo kuleta utetezi wa @%#&@* hapa...
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,247
2,000
Hivi hii benki ya Mkombozi inamilikiwa na nani na ina matawi wapi?? Maana ndio nimeisikia jana kwa mara ya kwanza.
 
Yodoki II

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
5,033
2,000
rugemalila ni muumini wao,rugemalila kuwa na urafiki na viongozi wa dini yeye siyo wa kwanza,pia muumini kumpa pesa kiongozi wake kiasi chochote cha pesa si kosa na yeye si mtu wa kwanza kufanya hvy!! Pia rugemalila alilipwa bil miatatu ikatangazwa,watu wote wakasikia haikuwa siri, na kipindi kile malipo yale yalikuwa ni halali nao hawakujua kama ni ufisadi, sasa mtu kutoa kiasi alicholipwa na kumpa kiongozi wake wa kiroho kuna ubaya gani?kiongozi wa dini atawezaje kujua kama anachopewa ni halali au siyo halali? Mbona sadaka na mavuno hatuulizagwi kama mbuzi unayemtoa sadaka umempata kwa uhalali?
umeongea pointi mkuu.humu kuna watu wana akili zinatia shaka.siku zote viongozi wa dini wanaishi kwa hisani za waumini.hawangeweza kujua huyo ruge fedha zake ni halali au haramu.isitoshe hata ruge fedha yake ni halali,swala kwamba aliyemlipa katumia hela gani haimhusu yeye.watz wananikera kwa kushadadia vitu ovyoovyo.
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,247
2,000
kwa hiyo alipewa kama sadaka...mbonabunataka kutufanya jf wapumbavu nabutetezi wako wa @%#&# hatutaki blah blah mimi ni mkatoliki lakini nasema kanisa watueleze na watu wawajibishwe siyo kuleta utetezi wa @%#&@* hapa...
Nadhani tusubiri na utetezi wao hawa viongozi wa dini, ndio tutajua mbivu na mbichi.
 
mwanawao

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
2,227
2,000
WATUMISHI walipewa FUNGU LA KUMI wawacheni.
Kama huyo fisadi alimfuata akamwambia
mtumishi kwenye biashara zangu nimepata faida
nzuri na hii hapa ni fungu la kumi kama zaka
unategemea Askofu angefanyaje? Asichukue?
Kwa sababu hilo fungu la kumi limejulikana sasa
sio safi basi Askofu amrudishie aliyelitoa.
 
karuhanga

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
219
225
Mi nashangaa wana jf mtu anataka kufahamu hawa viongozi wa dini hizo fedha wamezichota vip au kuhusika vip mtu anatoa majibu tofaut sio kila kitu lazima mjibu jamani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom