YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
Viongozi wa CHADEMA mikoani na wilayani wamekuwa wakishirikishwa sana tu kwenye operation za maandamano ,vurugu nk hapo ushirikishwaji unakuwa mkubwa mno na hadi vitisho viongozi wa CHADEMA mikoani,wilayani na matawini wamekuwa wakipewa kutishiwa hata kufukuzwa uongozi kama hawatashiriki.
Swali ni je Katiba ya CHADEMA inasema kuwa ruzuku ni ya kuliwa na makao makuu tu wilayani na mikoani haitakiwi kwenda?
Kwa nini kushirikishana kunakuwa kukubwa kwenye maandamano na operation kama UKUTA na kadhalika watu wanapita kila eneo kugawa majukumu lakini ikifika kwenye Ruzuku mwala wenyewe makao makuu na ushirikishwaji hapo unakuwa haupo wala huoni pilika za viongozi wa CHADEMA makao makuu kupita mitaani,wilayani na mikoani kugawa ruzuku? Vipi?