chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,186
- 797
Hela Moja inakatwa Kodi Mara mbili hivi hawajui mtumaji pesa ndo hua anatuma na ya kutolea waache aiseee hii Kodi ya miamala ya simu inatakiwa ijadiliwe upya lasivyo hawatapata Hata cent labda kwa wafanyabiashara wakubwa ila sisi wa online business kwa kweli hawatatuonaKwenye hili la ongezeko la hela ya tozo kwenye mihamala ebu watanzania tuache kulia kulia ayo ndio maendeleo na kwani kabla azijakuwepo hii huduma tulikuwa tunatumia huduma gani ebu tuache serikali ifanye kazi ituletee maendeleo sio kila jambo kulalama tu .serikali mpk kuweka hili imeshakaa na kufanya uchunguzi sio kama imekurupuka tusipende kupinga tu uku tunataka dawa hospital.watoto wasome bure wewe mtanzania unachangia nini yangu leo ni hayo
Fahari yetu nchi yetu mungu bariki