Kuhusu: Mzee Mabere Marando!

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,925
13,259
Wadau, Amani iwe nanyi!

Nafahamu kabisa kuwa kazi ya ukombozi sio ndogo!

Falsafa ya Mh.F.Mbowe inasema kuwa mpaka kufikia ukombozi, kuna watakaokufa, watakaojeruhiwa na kupata vilema vya muda na kudumu, watakaosaliti kambi bila kuwasahau wale watakaojisalimisha kwa CCM.

Katika makamanda waaminifu kwa CHADEMA, mmoja wao ni Kamanda MABERE MARANDO, huyu ni mmoja wa wanachama waliojiunga na CHADEMA kwa kipindi kifupi na kuipigania ipasavyo! Marando aliwahi kutuahidi wana CHADEMA na UKAWA kuwa kipindi hiki cha uchaguzi yeye atatangaza matokeo ya ukweli ya uchaguzi kabla ya tume!
Huu ni ujasiri ulioje!

Bahati mbaya tukapata taarifa kuwa, Kamanda MABERE MARANDO ni mgonjwa! Na aliondoka nchini Tarehe 15.09.2015 kuelekea INDIA kwa ajili ya matibabu!
Makamanda tujuzane! Hali ya Marando ikoje? Je alisharudi? Au bado yuko ughaibuni akipambania maisha yake?

Mungu ampe TAHFIF inshaallah!

VIVA UKAWA, VIVA LOWASSA, VIVA TANZANIA!!!
 
Yes! hiki ni kipindi ambacho tunamhitaji zaidi kuliko kipindi kingine chochote
 
Yuko kwake juzi alikuwa ba mkutano wa maeakili mjini mwanza.

Swissme
 
Yuko kwake juzi alikuwa na mkutano wa mawakili mjini mwanza.

Swissme
 
Baada ya Mwamunyange mmehamia kwa Marando.
Kweli Magufuli kawashika pabaya.
 
Wadau, Amani iwe nanyi!

Nafahamu kabisa kuwa kazi ya ukombozi sio ndogo!

Falsafa ya Mh.F.Mbowe inasema kuwa mpaka kufikia ukombozi, kuna watakaokufa, watakaojeruhiwa na kupata vilema vya muda na kudumu, watakaosaliti kambi bila kuwasahau wale watakaojisalimisha kwa CCM.

Katika makamanda waaminifu kwa CHADEMA, mmoja wao ni Kamanda MABERE MARANDO, huyu ni mmoja wa wanachama waliojiunga na CHADEMA kwa kipindi kifupi na kuipigania ipasavyo! Marando aliwahi kutuahidi wana CHADEMA na UKAWA kuwa kipindi hiki cha uchaguzi yeye atatangaza matokeo ya ukweli ya uchaguzi kabla ya tume!
Huu ni ujasiri ulioje!

Bahati mbaya tukapata taarifa kuwa, Kamanda MABERE MARANDO ni mgonjwa! Na aliondoka nchini Tarehe 15.09.2015 kuelekea INDIA kwa ajili ya matibabu!
Makamanda tujuzane! Hali ya Marando ikoje? Je alisharudi? Au bado yuko ughaibuni akipambania maisha yake?

Mungu ampe TAHFIF inshaallah!

VIVA UKAWA, VIVA LOWASSA, VIVA TANZANIA!!!

israeli bado hajakamilisha idadi hivyo vuta subira mkuu. si umeona tena na leo kadondoka mwingine? kuna mtu kaniambia kabla hata ya uchaguzi kufanyika tutalia tena. tuwaombee sana hawa watu wote walio katika pilika hizi za chaguzi ila wingu jeusi bado lipo either kabla ya uchaguzi au siku kadhaa tu baada ya uchaguzi. shinikizo la damu linalotokana na watu kutumia pesa nyingi ambazo wamekopa katika mabenki halafu matumaini si mazuri na kujihusisha mno na masuala ya ushirikina kwa kuingia katika maagano na mashetani ndiyo vyanzo vikubwa vya hivi vifo japo vingine vichache ni vya kimafia kama siyo vya kijasusi zaidi. naomba niishie hapa ila tujiandaeni na tuzoee tu kulia.
 
Nakupongeza sana Msalan kwa kuliona jambo kubwa kama hilo
 
Mkuu umeandika kwa Uchungu Mkubwa Sana. Nakupa heko kwanza mkuu. Mungu azidi kumpa afya Imara kamanda Marando
 
israeli bado hajakamilisha idadi hivyo vuta subira mkuu. si umeona tena na leo kadondoka mwingine? kuna mtu kaniambia kabla hata ya uchaguzi kufanyika tutalia tena. tuwaombee sana hawa watu wote walio katika pilika hizi za chaguzi ila wingu jeusi bado lipo either kabla ya uchaguzi au siku kadhaa tu baada ya uchaguzi. shinikizo la damu linalotokana na watu kutumia pesa nyingi ambazo wamekopa katika mabenki halafu matumaini si mazuri na kujihusisha mno na masuala ya ushirikina kwa kuingia katika maagano na mashetani ndiyo vyanzo vikubwa vya hivi vifo japo vingine vichache ni vya kimafia kama siyo vya kijasusi zaidi. naomba niishie hapa ila tujiandaeni na tuzoee tu kulia.

Utafuatia wewe
 
ukikuta hadi jasusi mabele marando kajiweka mbali na lowasa ogopa sana asee
Unadhani hayo matokeo atakayoyotangaza ni mazuri kwa KUFULI? Kweli CCM imekamatwa pabaya vumilieni tu! Au rudisheni fedha za watu! Hakuna namna nyingine tena!
 
Back
Top Bottom