kuhusu Mwadui!

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
319
276
Habar wanahistoria!

Wanahistoria, Nauliza Je kunaukweli kuhusu hili la mtu ukitaka kuingia mji wa mwadui huko shinyanga ni lazima uwe na kibali tena unaomba kabla ya ya siku kazaa ili uruhusiwe kuingia!

Naomba kujua hili kwasababu kuna mtu ameniambia, nikapatwa na shauku ya kujua jambo hili! Mwnye naomben kujua
 
yaani hapo Maganzo hapo? Tusubiri Simiyuyetu atatupa jibu, ila lisiwe la ki-CCM
 
yaani hapo Maganzo hapo? TusubirSimiyuyetu atatupa jibu, ila lisiwe la ki-CCM
Kaka ni kweli bila kibali zamani huingii mwadui.lakini sasa unaweza kueleza tu getini unakwenda kumuona nani ukaruhusiwa.kumbuka mwadui ilikua imezungushiwa uzio yote na ulinzi wa kutosha kwa ajili ya mgodi wa almasi. Mahitaji yote enzi wazungu wapo yalipatikana supermarket(duka kubwa),hospitali ya uhakika,shule mabasi yalikuwemo mengi tu.iliitwa ulaya ndogo!
 
yah!lazima uombe kwa maandishi,labda uwe unakwenda kumwona mzito, niliwahi kwenda pale kwa ajili ya project flan hivi,kamera zilizuiliwa mlangoni, kuhusu pink diamond inayopatikana pale chini ya Petra Diamonds company tulielezwa,tulipoanza kuuliza kuhusu mrabaha tu,amri ikatoka huko,tukasindikizwa mpaka maganzo,tukapewa makaratasi tu yakumalizia project!
 
Back
Top Bottom