Kuhusu miradi mikubwa wilaya ya Chato

dega

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
3,138
3,042
Kuna habari kwamba kuna miradi mbali mbali inayoendelea wilayani Chato kwa yule anaefaham anisaidie yafuatayo:

1 Aina ya Mradi
2 Gharama zilizotumika/zinazotumika
3 Utaratibu ulotumika utowaji wa tenda
4 Kikao cha bunge kilichopitisha miradi hiyo/utaratibu uliotumika kuichagua
5 Vipi miradi hiyo itakavyotusaidia kujikwamua kiuchumi
Ni hayo tuu.
 
Wewe umesema "Kuna habari.." ila bado unatuuliza sisi. Huu ni mtihani au?
Huwenda wewe ukanipa hizo details ninazozitaka hapo chini ndugu ndio maana nikauliza ila hizo habari na zisikia nisaidie pia kuzithibitisha huwa sipendagi kuongelea vitu nisivyo vijua
 
Juzi waziri wa Saudia ameombwa ajenge Miskiti wa kimataifa Chato, Miskiti wa kimataifa ungejengwa Dodoma malaika makao makuu au Tanga, Bagamoyo, Zanzibar kwenye idadi kubwa ya Waislamu.
 
Kuna habari kwamba kuna miradi mbali mbali inayoendelea wilayani Chato kwa yule anaefaham anisaidie yafuatayo:

1 Aina ya Mradi
2 Gharama zilizotumika/zinazotumika
3 Utaratibu ulotumika utowaji wa tenda
4 Kikao cha bunge kilichopitisha miradi hiyo/utaratibu uliotumika kuichagua
5 Vipi miradi hiyo itakavyotusaidia kujikwamua kiuchumi
Ni hayo tuu.

Ni siri utopata taarifa zake subiria awamu ijayo.Nasikia lile jengo la CRDB wasukuma wamegeuza sehemu ya kupumzikia wakitoka machungani.
 
Nielewe mimi sikupinga miradi kwenda huko hata kama miradi yote itasimama kwanza tukajenga Chato ni sawa tuu lkn tuamue kama Taifa na si kikundi kidogo cha watu
Tatizo kuna watu mnaamini mikoa mingine ni watu mafukura wasio stahili maendeleo yoyote, kwamba ikijengwa hospitali ya wilaya Chato ni nongwa? Wakati huo huo kuna wilaya zaidi ya 65 zimejengewa hospitali ndani ya awamu ya Magu.

Wakijenga bandari ndogo Chato kwa ajili ya usafiri wa meli na uvuvi nongwa pia, mkoa mzima unapakana na ziwa ila hauna usafiri wa uhakika, acheni roho za chuki na ubaguzi.
 
Ahsante,na vipi kuhusu kiwanja cha Ndege?
Chato International Airport (CIA)
 
Kuna habari kwamba kuna miradi mbali mbali inayoendelea wilayani Chato kwa yule anaefaham anisaidie yafuatayo:

1 Aina ya Mradi
2 Gharama zilizotumika/zinazotumika
3 Utaratibu ulotumika utowaji wa tenda
4 Kikao cha bunge kilichopitisha miradi hiyo/utaratibu uliotumika kuichagua
5 Vipi miradi hiyo itakavyotusaidia kujikwamua kiuchumi
Ni hayo tuu.
Mimi nilidhani unatafuta fursa inayotokana na miradi kumbe unataka kujua nani kapitisha, basi subiri.
 
Kuna watanzania siku hizi ni wabinafisi sana.
Kikifanyika kitu sehemu inakuwa shida.
 
Sasa ujengwe sehemu ambapo tayari kuna misikiti?
Inajengwa sehemu ambapo watu watasilimu.
Uislam hujengwa na makafiri bila kujua wao.
Mfano wazungu wanasema Uislam ni ugaidi hii huwapelekea watu wengi kuanza kuusoma Uislam ili wajue unafunzaje ugaidi; mwisho wasiku hukutana na vitu tofauti kabisa na waambiwavyo.
Na hupelekea kusilimu kwa kuujua ukweli.
Hivyo acha misikiti ujengwe halafu baada ya miaka miwilitu nenda ukaone.
Juzi waziri wa Saudia ameombwa ajenge Miskito wa kimataifa Chato, Miskito wa kimataifa ungejengwa Dodoma malaika maji au Tanga, Bagamoyo, Zanzibar kwenye idadi kubwa ya Waislamu.
 
Back
Top Bottom