mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,335
Ndugu zangu Wana JF natangaza kwenu kusudi langu la kufungua shauri mahakama kuu kanda ya Dodoma nikitaka yafuatayo:
1. Mahakama izuie utukaji wa tozo mpya kwenye simu hadi pale shauri litakaposikilizwa
2. Tozo hizo zifutwe kwani tayari tunalipa kodi mbili kwa kila mwamala
3. Wawalipe fidia ya shiling 10,000 kwa kila siku ambayo makato yalifanyika hii watalipwa mawakala ambao kipato chao kiliathirika
4. Kila Mwananchi arudishiwe pesa yake aliotapeliwa
5. walipe fidia kwa makampuni ya simu.
Katika kesi hii washitakiwa ni
1. Waziri wa fedha
2. Kamishina wa TRA
3. Makampuni ya simu
Naombeni ushauri zaidi.pia msisahau kuniombea wasinitike.
mama D Pascal Mayalla Sky Eclat Mwigulu Nchemba Zitto