Kuhusu Matatizo ya Umeme, kuna haja ya kuendelea kuwaamini viongozi wa Serikali?

Matunda ya uhuru ndiyo haya. Tulilia kupata uhuru wa kujiongoza, baada ya miaka 60 bado tuna sua sua. Tuwaite tena hao tuliowafukuza watusaidie maana wenyewe tumeshindwa.
 
Hata nwaka bado:

1. Umeme anaenda kufeli
2. Maji anaenda kufeli
3. Democracy kafeli
4. Vyuma vimekaza mitozo kila uchao
5. Mifumuko ya bei
5. Mawaziri mizigo
7. Nchi haina dira inaenda enda tu haina dira.
8. Kubambikiza kesi ndo usisema
9......

Hatari sana
 
Hebu angalieni video hii halafu toeni maoni yenu .

Tukisema mambo kama haya bado tutaitwa wachochezi ? viongozi wataendelea kuwaona wananchi wajinga hadi lini ?

View attachment 2015307

Ila nimegundua nyinyi kina Erythrocyte, BAK, Mshana, Salary slip ni wanafiki na wapuuzi sana sana

Enzi ya utawala wa Magufuli mliponda kila kitu, kila kitu kilichofanywa na utawala ule ikiwemo alivyomuondoa mkurugenzi mkuu wa tanesco na bodi yote, na bado mkaponda alipoteua bodi mpya.
Na matokeo chanya ya mabadiliko hayo tuliyaona, ila MKAPONDA

Na kiukweli Jpm alijitahidi sana kutatua hizi shida za mgao wa umeme au maji ilianza kubaki historia. Na alifanikiwa pakubwa sana

Sasa leo unakuja kuanzisha nyuzi kujifanya unalialia na kulaumu kinafiki kuhusu umeme, unatamani ulinganishe awamu hii ya sita na iliyopita lakn nafsi inakusuta

Wapuuzi kabisa nyinyi
 
Sisi tunapinga ccm , hatupingi mtu binafsi
 
Back
Top Bottom