Kuhusu madawa ya kulevya niwakumbushe waheshimiwa wabunge wasome hapa

Lendomz

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
446
381
http://m.ippmedia.com/sw/habari/wab...ilevinge-watofautiana-suala-la-kupimwa-kilevi

Kama kuna MTU ameitwa kijieleza mbele ya bunge kwa sababu yoyote juu ya issue ya madawa ya kulevya ni vyema yaliyosemwa ndani ya bunge lile ambalo Mkuu wake alipendekeza yafanyiwe kazi kwanza.vinginevo tutajua kuwa wanalinda maslahi yao binafsi!! Japo hatuungi mkono kama kuna dhalishwa kwa kiongozi yeyote.lakini tuyaishi tuyasemayo

Msinielewe vibaya
 
Back
Top Bottom