N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,825
- 9,528
Regulation 4 ya Electronic and Postal Communications (Online Content) 2020 inasema: A person shall not provide online content services without obtaining a licence from the Authority.Habari gani wadau?
Katika harakati za kujaribu kuangalia namna nyingine ya kujiajiri baada ya kuomba kazi kwa miaka 5 na kukosa.
Nikaamua nifikirie kuanzisha chaneli ya youtube ninatakyokuwa nafundisha DIYs
KUHUSU leseni za TCRA je zina apply hata kwa youtubers ambao sio waandishi wa habari au vyombo vya habari wenye viewers wachache au Leseni ni kwa akaunti yoyote ile ya youtube hata kama sio broadcasting?
Msaada wenu tafadhali
Natanguliza shukrani.
Sasa man we jichanganye tu uingie kwenye 18 za hawa jamaa hawana msalie mtume siku hizi!