Kuhusu kuomba vyuo pamoja na mikopo kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na elimu ya juu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhusu kuomba vyuo pamoja na mikopo kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na elimu ya juu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Bishara mchomvu, Apr 8, 2013.

 1. Bishara mchomvu

  Bishara mchomvu Member

  #1
  Apr 8, 2013
  Joined: Apr 3, 2013
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wana jf, mimi nilifanya mtian wa kidato cha 6 mwaka 2012 na nataka sasa niombe chuo tcu. TATIZO LANGU NI KWAMBA SIELewi kuusu garama za uombaji. yani adi kukamilisha utaratibu wote kuanzia tcu ad loan boad, nitapaswa kutoa hela wapi na wapi na ni hela kiasi gani kwa kila kona ?? yan sielewi kabisa taratibu za kuomba vyuo na sina mtu wa kunisaidia zaidi yenu wana jf. nipo kijijin na ndo mana naitaji nielewe kabla cjaenda mjini kuanza taratibu za kuomba nafasi ya chuo.
   
 2. k

  kapu JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2013
  Joined: Dec 27, 2012
  Messages: 205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kijana subiri matokeo yatoke kwanza,aplication tcu inagharimu 50,000 tu ambapo utailipia nbc benki na utapewa vocha ambayo utaitumia katika registration kabla ya application,njia za kuomba tcu ni kwa kutumia intanet au sms kwa simu za mkononi,pia ni lazima usome admission guide book 2013/2014 ambayo inakupa mwongozo wa uombaji,tayari tcu wameshaweka katika website yao Home - Tanzania Commission for Universities.
   
 3. wamogori

  wamogori JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2013
  Joined: Mar 20, 2013
  Messages: 887
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Umemjibu vizuri ila kwa yeye hana haja ya kusubiri matokeo kwani alifanya mtihani mwaka jana tena anatakiwa awahi kwani mwisho wao ni mwezi huu tarehe 30. wanaopaswa kusubiri matokeo ni wale waliomaliza mwaka huu ambao mwishi wao ni tarehe 31 mwezi wa tano.
   
 4. Bishara mchomvu

  Bishara mchomvu Member

  #4
  Apr 8, 2013
  Joined: Apr 3, 2013
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Dah! Nashkuru kwa majibu yenu mazuri. ila,, hyo 50,000 ni kwa ajili ya usajili tcu, je, kuusu loan boad akuna ela itakayoitajika kwa ajili ya kuombea mkopo? sor just help me.
   
Loading...