Kuhusu kuflash Modem!

God knows

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
275
173
Hivi jamani wana JF, mi naomba kuuliza kama kuna mtu anaweza kunisaidia maana halisi ya kuflash modem na inafaa nini kama modem ikiwa imeflashiwa.
 
Kuipa moderm uwezo wa kutumia zaidi ya laini moja kama ni ya laini moja mfano tigo,zain au voda
 
mkuu huko ni ku UNLOCK!
kU flash ni some kind of controlled formatting of its firmware (najua utauliza firmware nini...search google!!) manake unafuta baadhi/zote data na programs zilizopo ndani yake..sawa na mtu anapoflash simu, nia ikiwa ni kuondoa some unwanted programms/data ambazo zinakuwa zinaleta matatizo...unaweza ukaflash modem na bado ikawa ipo LOCKED na ndo maana hata software nyingi za KU UNLOCK MODEM huwa zinafanya kazi ya ku CALCULATE UNLOCK CODES na FLASH CODES..na huwezi kutumia flash code kwa ku unlock wala kinyume chake...
 
,
sio some mkuu. ni all au zote. huwa unaandika upya ile firmware (software ya kuiwezesha kujitambua yeye mwenyewe). na ikifeli
kabla ya kumalizika mara nyingi simu au modem yako huwa haifai tena. ila inategemea zaidi imefeli kwenye step gani.
na ni mara nyingi ni kitu cha kuepukwa ila unapokuwa na shida sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom