mbutamaseko
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 735
- 1,050
Kama tunavyoshuhudia wadau mbali mbali wa maendeleo wakialikwa ikulu na kujadili na Mkuu juu ya changamoto zinazowakabili, na Mh hutoa maelezo sanjari na kushughulikia baadhi ya changamoto. Nadhani ni Muda mwafaka akaigeukia na hii kada ya elimu kwani nako kuna mengi yakupatiw ufumbuzi ili kujenga kizazi chenye elimu bora sambamba na kuboresha maisha ya waalimu(maticha)...
Hapa wachaguliwe hata 20 kutoka kila mkoa kumi vijijin kumi mjini. Ili nao wakatiririke nini kinasababisha mpaka wanadharaulika tofauti na enzi za Mwalimu.
Hapa wachaguliwe hata 20 kutoka kila mkoa kumi vijijin kumi mjini. Ili nao wakatiririke nini kinasababisha mpaka wanadharaulika tofauti na enzi za Mwalimu.