Kuhusu Kodi ya magari, serikali ifikirie hili...

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,081
5,061
Moderator naomba thread hii ibaki kwa muda inawezekana wakubwa wakapita na ikatusaidia.
katika kodi ya kila mwaka ya vyombo vya moto,magari ni kuwa imepangwa kwa ujazo wa engine.
Nahisi hii si sahihi na bora ipangwe kwa ujazo wa engine na matumizi yake.
Pawe na tofauti ya gari ya cc 1800 ya pickup na ile ya kutembelewa.Kuna magari ya starehe yenye cc kubwa nayo yatalipa sawa na mtu mwenye Canter ya kubebea mizigo.
 
Kuna incometax mwenye canter ya tani 1.5 cc 1800 analipa juu ya road licence, anabayo mwenye gari ndogo yenye cc hizo hizo 1800 halipi

Pickup yeyote inayozidi 1.5t wanaassume ni ya biashara hata kama ni kwa matumizi yako binafsi

Sasa Wewe waulizia kodi ipi ya mapato au road tax
 
Back
Top Bottom